Ali Kiba Kupanda jukwaa moja na Nick Minaj Septermber

Big up Ali kiba a.k.a kipaji toka kwa Mungu. Huna makuu upo simple kama Pharel Williams
 
umeona eeeeh!and the real man should behave km kiba sio wengine mbwembwe pumbaaav!

Halafu angalia propaganda za kikanjanja kama hizi...eti wakina nelly wagombea namba ya cm ya ndomo.....no wonder haya magazeti yanapendwa na mabeki tatu na kina mama wauza mihogo ya kukaanga
 
Hivi nyie mnaomsifia kiba kisa msiri,mnajua kweli biashara ya mziki??mjue buashara ya mziki sio kama biashara ya duka ambayo mahesabu na mali iliyopo ni siri ya mangi mwenye duka!!biashara ya mziki ni kujitangaza kwa mashabiki wengi ili ujulikane.kiba alifulia ndio maana akawa kimya.sasa we husikiki unasema anafanya mambo kimya kimya.ivu kuna show ya kimya kimya zaidi ya yachumbani!!!alaahh wacheni wivu wa kijinga kuponda mafanikio ya watu.anaglien mtonivkama wasanii wao wanaishi kimya.kimya.wanajitangaza hata malii zao na mengine kbao.bih up daimond ali kiba kaza buti umepigwa gape la kutosha.komaa still u can make it
 
Unazungumzia kujitangaza kwa vipi? Kwa style hii ya kutupiga fix ya Hollywood Walk of fame? Fix za kujifanya kamtoa davido? Fix za kugombaniwa namba ya cm na kina nelly? Fix za kuombwa kufanya colabo na mafikizolo wakati kiuhalisia yeye ndio anajikomba?....Be real bhana
 
Wazee wa HOLLYWOOD WAKE OF FAME (Hollywood Walk of fame) chalii....

umeona eeeh!kazi kutupwaga tu hapa!mtaishia mbwembwe na leo nimeamini SHIGONGO NDO ANAMBEBA NA MIGAZETI YAKE NA WALE WAZEE WA FITNA!
 
Hivi nyie mnaomsifia kiba kisa msiri,mnajua kweli biashara ya mziki??mjue buashara ya mziki sio kama biashara ya duka ambayo mahesabu na mali iliyopo ni siri ya mangi mwenye duka!!biashara ya mziki ni kujitangaza kwa mashabiki wengi ili ujulikane.kiba alifulia ndio maana akawa kimya.sasa we husikiki unasema anafanya mambo kimya kimya.ivu kuna show ya kimya kimya zaidi ya yachumbani!!!alaahh wacheni wivu wa kijinga kuponda mafanikio ya watu.anaglien mtonivkama wasanii wao wanaishi kimya.kimya.wanajitangaza hata malii zao na mengine kbao.bih up daimond ali kiba kaza buti umepigwa gape la kutosha.komaa still u can make it
Hapa hatuongelei kujitangaza tunaonhelea mauongo yake na hizo team za kishenzishenzi!sawa kampga gape bas aende huyo mr.misifa kwani kiba kpnd hiko anavima umeshawahi kumsikia na mauongo uongo ya ajabu si hatumpondi mondi hy s tunampongeza kwa alipofikia ila uongo unamshusha hadhi msitetee upuuzi hapa!
 
Kikosi cha Diamond kimejaa watu waongowaongo tu.
 
Hahaha Dinazarde cheki na hii chezea Diamond wewe hahaha
 
Attachments

  • 1404303404994.jpg
    1404303404994.jpg
    44.8 KB · Views: 188
Last edited by a moderator:
Kiba kabakia jina tu.bt huwez muweka kiba na daimond jukwaa moja.yaaan mnaoponda mnponda kwa chuki tu..kiba alikuwepo na zama zake zimepita kama walivyo akina ay na wengine.kwa nini hamtaki kukubali ilo??
 
Back
Top Bottom