Ali Kiba kutoa tamko rasmi siku moja kabla ya kilele cha Wasafi Festival

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Msanii wa Bongo Fleva, Ali kiba kupitia akaunti yake ya Instagram ametangaza kufanya mkutano na wanahabari siku ya Ijumaa ya tarehe 8/11/2019 ambapo ni siku moja nyuma ya Tamasha la Wasafi Festival.

Mkutano huo utafanyika katika hoteli ya Lamada kuanzia saa kumi na mbili jioni, inawezekana kuwa bado 'Sakata la Penseli' halijaisha lakini yote kwa yote tusubiri tuone nini kitajili huko.
 
Kubwa atakalo zungumza ni kubadilisha management yake na kutambulisha wimbo wake mpya,huku taget yake pia akitegemea kuulizwa swali kuhus wasaf festival na ile post yake,hapo ndipo patakapokuwa patam zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…