venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Msanii wa Bongo Fleva, Ali kiba kupitia akaunti yake ya Instagram ametangaza kufanya mkutano na wanahabari siku ya Ijumaa ya tarehe 8/11/2019 ambapo ni siku moja nyuma ya Tamasha la Wasafi Festival.
Mkutano huo utafanyika katika hoteli ya Lamada kuanzia saa kumi na mbili jioni, inawezekana kuwa bado 'Sakata la Penseli' halijaisha lakini yote kwa yote tusubiri tuone nini kitajili huko.
Mkutano huo utafanyika katika hoteli ya Lamada kuanzia saa kumi na mbili jioni, inawezekana kuwa bado 'Sakata la Penseli' halijaisha lakini yote kwa yote tusubiri tuone nini kitajili huko.