Ali Kiba - 'Mimi ni mkubwa kuliko tuzo', Kura yangu kwa Wizkid

Huu Uzi ushuzi kabisa
 
Ali Kiba putting him self with wiz kid?mbona ni mbingu na ardhi!
 
Bila shaka mtoa mada ni wakike, Maana mwanaume hafanyi mambo haya na hawezi ongea kwa hadhira.

Unamdhiria MTU, km hupigi kura kaa kimyaaa sio kutangaza kwa watu kuwa humpigii kura na unampigia mwngine na kumjengea chuki kwa watu....
Mi ni shabiki wa diamond ila mtoa mada kanikera....
Ushawahi mpigia msanii kura ukapata faida yeyote toka kwake??!

Fanya uvunge na si kutandaza chuki kwa msanii kwa wananchi.... Haitakusaidia
 
diamond ana shabiki kilaza kama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…