Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kura inapigwaje jamaniHivi nn umeandika kwan lazma upige acha wapo watakaopiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kura inapigwaje jamaniHivi nn umeandika kwan lazma upige acha wapo watakaopiga
Kuna maelezo apo mwanzo fatiliakura inapigwaje jamani
naclick vote ? mbona nikirudia inakubali au unabiga mara ngapi?Kuna maelezo apo mwanzo fatilia
Unaclick vote ndionaclick vote ? mbona nikirudia inakubali au unabiga mara ngapi?
unapiga mara ngapi?Unaclick vote ndio
Hakuna idadi we piga tuunapiga mara ngapi?
duh nimepiga hadi nimechoka sasa ni tuzo gani hii? kiba angeajiri mtu apige siku nzimaHakuna idadi we piga tu
Hahahhh unajua Miss mm sijui mwisho mara ngp [emoji28][emoji28]duh nimepiga hadi nimechoka sasa ni tuzo gani hii? kiba angeajiri mtu apige siku nzima
Huu Uzi ushuzi kabisaHabari,
Ali Kiba - Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo
Ali Kiba aliwahi kuonesha dharau kubwa kwa mashabiki wao kuwa yeye ahitaji Tuzo yoyote ya muziki kwasababu yeye ni mkubwa kuliko tuzo na muziki wake ni mkubwa kuliko hivyo vituzo na ndio maana hata siku moja hajawahi kuhudhuria sherehe za utoaji tuzo. Hili ni tusi kubwa kwa Shardcole Nifah na wengine.
Ali Kiba anasahau kuwa heshima huja unapopata awards mbalimbali. Liverpool na Arsenal bila kuchukua vikombe si chochote mbele ya mashabiki na mpira kwa ujumla.
Nina maana kuwa hata kama Ali Kiba yuko peke yake Tanzania na Afrika Mashariki kamwe siwezi kumpa kura yangu NG'OOO. Hana shukrani kabisa.
Kura zangu zitaenda kwa Wizkid, Yes Wizkid.
View attachment 409105
View attachment 409108
Bila shaka mtoa mada ni wakike, Maana mwanaume hafanyi mambo haya na hawezi ongea kwa hadhira.Habari,
Ali Kiba - Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo
Ali Kiba aliwahi kuonesha dharau kubwa kwa mashabiki wao kuwa yeye ahitaji Tuzo yoyote ya muziki kwasababu yeye ni mkubwa kuliko tuzo na muziki wake ni mkubwa kuliko hivyo vituzo na ndio maana hata siku moja hajawahi kuhudhuria sherehe za utoaji tuzo. Hili ni tusi kubwa kwa Shardcole Nifah na wengine.
Ali Kiba anasahau kuwa heshima huja unapopata awards mbalimbali. Liverpool na Arsenal bila kuchukua vikombe si chochote mbele ya mashabiki na mpira kwa ujumla.
Nina maana kuwa hata kama Ali Kiba yuko peke yake Tanzania na Afrika Mashariki kamwe siwezi kumpa kura yangu NG'OOO. Hana shukrani kabisa.
Kura zangu zitaenda kwa Wizkid, Yes Wizkid.
View attachment 409105
View attachment 409108
diamond ana shabiki kilaza kama wwBila shaka mtoa mada ni wakike, Maana mwanaume hafanyi mambo haya na hawezi ongea kwa hadhira.
Unamdhiria MTU, km hupigi kura kaa kimyaaa sio kutangaza kwa watu kuwa humpigii kura na unampigia mwngine na kumjengea chuki kwa watu....
Mi ni shabiki wa diamond ila mtoa mada kanikera....
Ushawahi mpigia msanii kura ukapata faida yeyote toka kwake??!
Fanya uvunge na si kutandaza chuki kwa msanii kwa wananchi.... Haitakusaidia
U gat no point joh,,,, so chillaxdiamond ana shabiki ****** kama ww
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji4] [emoji12]U gat no point joh,,,, so chillax