eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Ali Kiba
Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000.
Ali Kiba
Jina la kuzaliwa
Ali Saleh Gentamilan
Amezaliwa
Novemba 29 1986 (umri 32)
Asili yake
Tanzania
Aina ya muziki
Mwanamuziki
Kazi yake
Mwimbaji Mwanasoka
Aina ya sauti
Sauti, Piano
Miaka ya kazi
2006 -
Studio
Rockstars4000
Kings Music
Ame/Wameshirikiana na
R. Kelly
Abdu Kiba
Christian Bella
Ommy Dimpoz
M.I
Patoranking
Abby Skills
Mr. Blue
Tovuti
www.kingkiba.com
Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.
Maisha yake
Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wanne, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.
Mafanikio
Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.
Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.
Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.
Mwaka 2017 alitajwa kuwa na utajiri wa kiasi cha dola milioni 5 za kimarekani, huku hasimu wake mkubwa katika anga hiyo ya muziki akitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 4 za kimarekani
Hivi karibu alitoa kibao kilichotikisa Africa na duniani kote kikijulikana kama KADOGO kibao kinachoelezwa kimemwingizia pesa nyingi mno kutokana na namna kilivyotengenezwa kwa umahiri mkubwa.