Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo tabata na umeshakamilika sio wa kutisha hiiiivyoooNasikia ana bonge la mjengo sema hataki watu wajue.
Kulupa kodi 😝😝😝😝So shida ni investiment au kulupa kodi?..mbona unachanganyikiwa
Ushapotezwa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Unamtangaza kwani kunufaika had apate hela kwa flana yako moja.
Unawekezaje bila kuwa na helaWe ndo mchaga mjinga wa kwanza kumuona, sasa utakuweje na salio bank bila kuwekeza? Aikambeeee
Kuwekeza kawekeza sana, we mfuatilie tuWe ndo mchaga mjinga wa kwanza kumuona, sasa utakuweje na salio bank bila kuwekeza? Aikambeeee
Unaelewa maana ya salio?Unawekezaje bila kuwa na hela
Tatizo hamtaki kuamini kwamba MTU mnaemshabikia kazidiwa na msiemshabikiaUnaelewa maana ya salio?
Ni kwa wasanii wa tzIvi utajiri wa dola milioni 5 si sawa na bilioni 10 za ktz?
Mmh...mbona hata sio matajiri kiivo
Kibongo bongo tu kwa wasanii hiyoIvi utajiri wa dola milioni 5 si sawa na bilioni 10 za ktz?
Mmh...mbona hata sio matajiri kiivo
Usiseme kitu usichokijua wewe.Ali kiba tunakula nae Biriani kila siku kwetu pazuri tabata nisimjue? ndio maana nakwambia usimtie nuksi kwa kumsingizia utajiri asioukuwa naoAwe MASIKINI MAISHA YAKE YOTE DUH?....analala kwenye nyumba yake,anakula anachotaka,anaenda analotaka in and out the continent,hukutani nae kwe ye mwendokasi wala uber..UMASKINI GANI UNAZUNGUMZIA WEWE TAJIRI WA CHUKI.
Na diamond sio kwamba hana pesa, kwa sababu pia mwaka huo huo alitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni nne, so kua na hela ni kitu kingine na kuzidiana pesa ni kitu kingine. Wote wawili ukiacha kuwa na vitu vingine wanavyofanya biashara yao kubwa ya kuingiza pesa ni muziki.
Tamasha lao moja tu bongo ni pesa nyingi mno, liwe wamelianzisha wao au wameitwa kutumbuiza.
Nje ya nchi baada ya kujitangaza sana sasa pia wanapiga pesa nyingi sana.
Wizkidi aliwahi kusema akiwa katika kategori moja ya kuwania tuzo na alikiba huwa anasumbuka sana kutokana na maudhui ya video zake
pia ni moja kati ya wamiliki wa yanga ila hapendi watu wajue tuNasikia ana bonge la mjengo sema hataki watu wajue.
Ok Diamond ana mjengo kama ule... ONGEA UKWELI HAPA.. UTAJE NA ILIPO MAANA NYUMBA ZAKE ZOTE TUNAZIFAHAMU SS WAZEE WA MJINI HAPA..Upo tabata na umeshakamilika sio wa kutisha hiiiivyooo
Mtu hujawah hata KUONA NGUO YAKE ILIYOANIKWA LIVE NGUO TU SIYO YEYE MWENYEWE afu nawe unajifanya unamjuuuuuuuuuuuQUOTE]kama unaonaga hadi nguo zake means wewe ni mke wake au mdada wake wa kazi
flana na kofia wanauza hadi wasanii wavuta bangi kina p the mc kama huo utajiri wa falana Hamna kitu kwakweliVyote havionekani kwa macho yako ww au ya wote boss? so ww zile kofia za AK na flana za KING KIBA HUZIONI?..KINGS MUAIC RECORD LABEL huijui vijana wake wana nyimbo inaitwa rhumba now?..mo faya huijui?..
Hahahaha! Sibishani na watu wanaojiita wazee wa mjini, wewe umekuja tu hapa wengine ndio tulipototolewa!Ok Diamond ana mjengo kama ule... ONGEA UKWELI HAPA.. UTAJE NA ILIPO MAANA NYUMBA ZAKE ZOTE TUNAZIFAHAMU SS WAZEE WA MJINI HAPA..