Ali Kiba - mtu asiyejikweza lakini ana utajiri wa kutosha kuliko msanii yeyote Tanzania

Ali Kiba - mtu asiyejikweza lakini ana utajiri wa kutosha kuliko msanii yeyote Tanzania

Ali kiba sahiv anashindana na kina Lava lava na mboso, konde boy,rayvany sio level zake tenaa
 
Ivi utajiri wa dola milioni 5 si sawa na bilioni 10 za ktz?

Mmh...mbona hata sio matajiri kiivo
 
Awe MASIKINI MAISHA YAKE YOTE DUH?....analala kwenye nyumba yake,anakula anachotaka,anaenda analotaka in and out the continent,hukutani nae kwe ye mwendokasi wala uber..UMASKINI GANI UNAZUNGUMZIA WEWE TAJIRI WA CHUKI.
Usiseme kitu usichokijua wewe.Ali kiba tunakula nae Biriani kila siku kwetu pazuri tabata nisimjue? ndio maana nakwambia usimtie nuksi kwa kumsingizia utajiri asioukuwa nao
 
Source ya hii taarifa yako ni ipi?
Na diamond sio kwamba hana pesa, kwa sababu pia mwaka huo huo alitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni nne, so kua na hela ni kitu kingine na kuzidiana pesa ni kitu kingine. Wote wawili ukiacha kuwa na vitu vingine wanavyofanya biashara yao kubwa ya kuingiza pesa ni muziki.

Tamasha lao moja tu bongo ni pesa nyingi mno, liwe wamelianzisha wao au wameitwa kutumbuiza.
Nje ya nchi baada ya kujitangaza sana sasa pia wanapiga pesa nyingi sana.

Wizkidi aliwahi kusema akiwa katika kategori moja ya kuwania tuzo na alikiba huwa anasumbuka sana kutokana na maudhui ya video zake
 
Hili halihitaji hata utafiti.


Huenda Naseeb Abdul sio msanii anayekubalika kuliko msanii yoyote Tanzania lakini kwa asilimia kubwa ndiye msanii anayeingiza pesa nyingi kupitia muziki na vitu vinavyohusiana na muziki kuliko msanii yoyote Tanzania ndani ya miaka kama 7 hivi iliyopita.

Sio mchunguzi wa masuala ya kifedha ya wasanii ila hili naona lipo wazi sana kwa mtu yoyote kulitambua.

Sifahamu kuhusu vyanzo vyao vingine vya mapato lakini tukitumia muziki kama chanzo chao cha deals za hela naamini Naseeb anatengeneza hela kupitia muziki kuliko Ali Kiba.
 
Mtu hujawah hata KUONA NGUO YAKE ILIYOANIKWA LIVE NGUO TU SIYO YEYE MWENYEWE afu nawe unajifanya unamjuuuuuuuuuuuQUOTE]kama unaonaga hadi nguo zake means wewe ni mke wake au mdada wake wa kazi
 
Vyote havionekani kwa macho yako ww au ya wote boss? so ww zile kofia za AK na flana za KING KIBA HUZIONI?..KINGS MUAIC RECORD LABEL huijui vijana wake wana nyimbo inaitwa rhumba now?..mo faya huijui?..
flana na kofia wanauza hadi wasanii wavuta bangi kina p the mc kama huo utajiri wa falana Hamna kitu kwakweli
 
Ok Diamond ana mjengo kama ule... ONGEA UKWELI HAPA.. UTAJE NA ILIPO MAANA NYUMBA ZAKE ZOTE TUNAZIFAHAMU SS WAZEE WA MJINI HAPA..
Hahahaha! Sibishani na watu wanaojiita wazee wa mjini, wewe umekuja tu hapa wengine ndio tulipototolewa!
 
Back
Top Bottom