Ali Kiba - mtu asiyejikweza lakini ana utajiri wa kutosha kuliko msanii yeyote Tanzania

Kuna AK fashion ina deal na mavazi, kuna mo faya,record lebel ya KINGS na kawekeza kwenye mali zisizo hamishika kama nyumba haya unataka nn awekeze na kwa binti yako wa kike upo tayari?..hahahahaa
Utajiri ni investments ulizonazo. JeAli Kiba ana investment gani? Je analipa kodi?
 
Ali Kiba

Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000.

Ali Kiba

Jina la kuzaliwa
Ali Saleh Gentamilan
Amezaliwa
Novemba 29 1986 (umri 32)

Asili yake

Tanzania

Aina ya muziki

Mwanamuziki

Kazi yake

Mwimbaji Mwanasoka

Aina ya sauti

Sauti, Piano

Miaka ya kazi
2006 -
Studio
Rockstars4000
Kings Music

Ame/Wameshirikiana na
R. Kelly
Abdu Kiba
Christian Bella
Ommy Dimpoz
M.I
Patoranking
Abby Skills
Mr. Blue

Tovuti
www.kingkiba.com

Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.

Maisha yake

Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wanne, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.

Mafanikio

Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.

Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.

Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.

Mwaka 2017 alitajwa kuwa na utajiri wa kiasi cha dola milioni 5 za kimarekani, huku hasimu wake mkubwa katika anga hiyo ya muziki akitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 4 za kimarekani

Hivi karibu alitoa kibao kilichotikisa Africa na duniani kote kikijulikana kama KADOGO kibao kinachoelezwa kimemwingizia pesa nyingi mno kutokana na namna kilivyotengenezwa kwa umahiri mkubwa.

utajiri ufichi mtu ndugu,acha uongo tena uongo ambao una miguu.
kutuaminisha kuwa tajiri wa pesa hizo.
mara kutuaminisha hoo ana kinywaji chake,wasio tembea ndio wanajua kuwa ni chake,kumbe brand hiyo mofire hipo s.africa na wakaomba kuitangaza kupitia alikiba kama unavo ona coca cola au chips snak na n.k
alafu mtu mwenye pesa utamuona maisha yake hata kama yupoje,pesa sio kama unataja tu
 
Kuna AK fashion ina deal na mavazi, kuna mo faya,record lebel ya KINGS na kawekeza kwenye mali zisizo hamishika kama nyumba haya unataka nn awekeze na kwa binti yako wa kike upo tayari?..hahahahaa
Vyote hivyo havionekani kwa macho.
Ak's ni duka la wahindi tena la zamani sana liko Samora Avenue na zamani walikuwa na Branch Mlimani city.
Ali Kiba aache kuwadangañyeni
 
Vyote havionekani kwa macho yako ww au ya wote boss? so ww zile kofia za AK na flana za KING KIBA HUZIONI?..KINGS MUAIC RECORD LABEL huijui vijana wake wana nyimbo inaitwa rhumba now?..mo faya huijui?..
 
Suala yapo au hayapo yanafyatuliwa manzeseee,kigambonii,chamwino hiyo ni ishu nyingine...SO HADI UNASEMA YANAFYATULIWA MANZESE MANAKE UMESHAYAONA KWA MACHO...haya yale macho ya mwanzo yalokuwa hayaoni umwyaweka wapi?...jikaze weweeee unadanganya wakati mambo yapo wazi
Hiyo Mo fire inauzwa duka ganî?
Hayo matisheti yanafyatuliwa Manzese
 
Suala yapo au hayapo yanafyatuliwa manzeseee,kigambonii,chamwino hiyo ni ishu nyingine...SO HADI UNASEMA YANAFYATULIWA MANZESE MANAKE UMESHAYAONA KWA MACHO...haya yale macho ya mwanzo yalokuwa hayaoni umwyaweka wapi?...jikaze weweeee unadanganya wakati mambo yapo wazi
Mimi nikinunua plain t shirt nikaiandika King Kiba kisha nikauza, Ali Kiba ananufaikaje?
 
Ali Kiba

Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000.

Ali Kiba

Jina la kuzaliwa
Ali Saleh Gentamilan
Amezaliwa
Novemba 29 1986 (umri 32)

Asili yake

Tanzania

Aina ya muziki

Mwanamuziki

Kazi yake

Mwimbaji Mwanasoka

Aina ya sauti

Sauti, Piano

Miaka ya kazi
2006 -
Studio
Rockstars4000
Kings Music

Ame/Wameshirikiana na
R. Kelly
Abdu Kiba
Christian Bella
Ommy Dimpoz
M.I
Patoranking
Abby Skills
Mr. Blue

Tovuti
www.kingkiba.com

Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.

Maisha yake

Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wanne, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.

Mafanikio

Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.

Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.

Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.

Mwaka 2017 alitajwa kuwa na utajiri wa kiasi cha dola milioni 5 za kimarekani, huku hasimu wake mkubwa katika anga hiyo ya muziki akitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 4 za kimarekani

Hivi karibu alitoa kibao kilichotikisa Africa na duniani kote kikijulikana kama KADOGO kibao kinachoelezwa kimemwingizia pesa nyingi mno kutokana na namna kilivyotengenezwa kwa umahiri mkubwa.

Sasa hapa utajir wake upo wapi? Pamoja na kumzid umri Nasibu abdul lakn hamgus hata nusu ya utajiri na mafanikio yake kimziki, tunzo za kimataifa na za ndani achilia mbali matangazo, record lebel, medias( wasafi tv&fm) achana nae huyu mtoto bana
 
Kwani ukiwa na umei mkubwa basi lazima ndo uwe na pesa nyingi hahahahaaaaa....kumkopare king n ngumu coz huwa hasemag na ndo mana hata MASHABIKI WA WCB HUWA MNAHISI HADI NYINYI MASHABIKI MNA HELA NYINGI KULIKO KIBA.

Faida ya ukubwa n ipi? Huyu mnampa umaskin nyie wenyeeewe, hana mvuto tena anatembelea nyota ya diamond... mwenzake ana show kila uchwao yeye show moja baada ya mwaka, mwenzake ana mikataba na makampun makubwa kuwatangazia biashara yeye anaruka ruka tu mjin hapa na kina sudi brown[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaah anaruka ruka akimaliza kuruka anaenda kulala kwenye ghorofa lake TABATA we usiyerukaruka tupe location
Faida ya ukubwa n ipi? Huyu mnampa umaskin nyie wenyeeewe, hana mvuto tena anatembelea nyota ya diamond... mwenzake ana show kila uchwao yeye show moja baada ya mwaka, mwenzake ana mikataba na makampun makubwa kuwatangazia biashara yeye anaruka ruka tu mjin hapa na kina sudi brown[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hivyo gurumo angekuwa trilionea boss...kama ukiwa mkubwa lazima uwe na pesa ming...KAMA DIAMOND NDO MSANII TAJIRI ZAIDI TZ NA ALI KIBA HANA HELA WHY COMPARISON KILA SIKU?..MSHINDANISHENI NA WENYE HELA WENZAKE BAS MBONA MNATESEKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA....anatembelea nyota ya diamond wapi wakati nyi ndo mmezoea kiki hadi diamond wenu kupiga madongo kwenye nyimbo i.e FRESH RMX na ALL WAY UP alofanya sijui ni cover sijui ni upuuzi gani...wapi king mmewah kumskia anamtaja jamaa kwenye ngoma haijawah mnadosi jamaa anawakwepa...hamuwez lazimisha tusimshabikie THE KING HIMSELF bt pia hamuwez lazimisha TUMSHABIKIE BWANA DOMO KUBWA...pita kulee tupite huku nzuri kwako inaweza kuwa mbaya kwa mwingine bwa she..msalimie mvaa kikuku wenu
Faida ya ukubwa n ipi? Huyu mnampa umaskin nyie wenyeeewe, hana mvuto tena anatembelea nyota ya diamond... mwenzake ana show kila uchwao yeye show moja baada ya mwaka, mwenzake ana mikataba na makampun makubwa kuwatangazia biashara yeye anaruka ruka tu mjin hapa na kina sudi brown[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utajiri ni investments ulizonazo. JeAli Kiba ana investment gani? Je analipa kodi?
Vizuri ukaanza kumfuatilia maana haweki public mambo yake kila MTU ayajue kama mwenzake, lakini utajiri sio kuivest tu Bali pia wanatazama AKAUNT yako ina nini ukiacha vile ulivyowekeza hadharani
 
Vyote hivyo havionekani kwa macho.
Ak's ni duka la wahindi tena la zamani sana liko Samora Avenue na zamani walikuwa na Branch Mlimani city.
Ali Kiba aache kuwadangañyeni
Anatumia nguvu kubwa mno kumtangaza mpendwa wake. Watanzania sio wajinga wana Macho labda hiyo AK angemfananisha na yule dogo wa Wasafi anayetokea Mbeya.
 
Na diamond sio kwamba hana pesa, kwa sababu pia mwaka huo huo alitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni nne, so kua na hela ni kitu kingine na kuzidiana pesa ni kitu kingine. Wote wawili ukiacha kuwa na vitu vingine wanavyofanya biashara yao kubwa ya kuingiza pesa ni muziki.

Tamasha lao moja tu bongo ni pesa nyingi mno, liwe wamelianzisha wao au wameitwa kutumbuiza.
Nje ya nchi baada ya kujitangaza sana sasa pia wanapiga pesa nyingi sana.

Wizkidi aliwahi kusema akiwa katika kategori moja ya kuwania tuzo na alikiba huwa anasumbuka sana kutokana na maudhui ya video zake
 
Mtu hujawah hata KUONA NGUO YAKE ILIYOANIKWA LIVE NGUO TU SIYO YEYE MWENYEWE afu nawe unajifanya unamjuuuuuuuuuuuQUOTE]Angalia unavyoongea kwa mihemko, jifunze ku handle hisia zako. Alikiba una mjua, mim una nijua hata useme simfahamu.

By the way, akili yako inakutuma hata uishi ndio humjue , basi masafa yako ya akili na sense zako za utambuzi ni ndogo sana. Hapo nimeongelea baya lenye afadhari... Ciao bela!
 
Vizuri ukaanza kumfuatilia maana haweki public mambo yake kila MTU ayajue kama mwenzake, lakini utajiri sio kuivest tu Bali pia wanatazama AKAUNT yako ina nini ukiacha vile ulivyowekeza hadharani

We ndo mchaga mjinga wa kwanza kumuona, sasa utakuweje na salio bank bila kuwekeza? Aikambeeee
 
Back
Top Bottom