playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Utajiri ni investments ulizonazo. JeAli Kiba ana investment gani? Je analipa kodi?
Utajiri ni investments ulizonazo. JeAli Kiba ana investment gani? Je analipa kodi?
Ali Kiba
Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000.
Ali Kiba
Jina la kuzaliwa
Ali Saleh Gentamilan
Amezaliwa
Novemba 29 1986 (umri 32)
Asili yake
Tanzania
Aina ya muziki
Mwanamuziki
Kazi yake
Mwimbaji Mwanasoka
Aina ya sauti
Sauti, Piano
Miaka ya kazi
2006 -
Studio
Rockstars4000
Kings Music
Ame/Wameshirikiana na
R. Kelly
Abdu Kiba
Christian Bella
Ommy Dimpoz
M.I
Patoranking
Abby Skills
Mr. Blue
Tovuti
www.kingkiba.com
Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.
Maisha yake
Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wanne, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.
Mafanikio
Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.
Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.
Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.
Mwaka 2017 alitajwa kuwa na utajiri wa kiasi cha dola milioni 5 za kimarekani, huku hasimu wake mkubwa katika anga hiyo ya muziki akitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 4 za kimarekani
Hivi karibu alitoa kibao kilichotikisa Africa na duniani kote kikijulikana kama KADOGO kibao kinachoelezwa kimemwingizia pesa nyingi mno kutokana na namna kilivyotengenezwa kwa umahiri mkubwa.
Vyote hivyo havionekani kwa macho.Kuna AK fashion ina deal na mavazi, kuna mo faya,record lebel ya KINGS na kawekeza kwenye mali zisizo hamishika kama nyumba haya unataka nn awekeze na kwa binti yako wa kike upo tayari?..hahahahaa
Vyote havionekani kwa macho yako ww au ya wote boss? so ww zile kofia za AK na flana za KING KIBA HUZIONI?..KINGS MUAIC RECORD LABEL huijui vijana wake wana nyimbo inaitwa rhumba now?..mo faya huijui?..Vyote hivyo havionekani kwa macho.
Ak's ni duka la wahindi tena la zamani sana liko Samora Avenue na zamani walikuwa na Branch Mlimani city.
Ali Kiba aache kuwadangañyeni
Hiyo Mo fire inauzwa duka ganî?Vyote havionekani kwa macho yako ww au ya wote boss? so ww zile kofia za AK na flana za KING KIBA HUZIONI?..KINGS MUAIC RECORD LABEL huijui vijana wake wana nyimbo inaitwa rhumba now?..mo faya huijui?..
Hiyo Mo fire inauzwa duka ganî?
Hayo matisheti yanafyatuliwa Manzese
Mimi nikinunua plain t shirt nikaiandika King Kiba kisha nikauza, Ali Kiba ananufaikaje?Suala yapo au hayapo yanafyatuliwa manzeseee,kigambonii,chamwino hiyo ni ishu nyingine...SO HADI UNASEMA YANAFYATULIWA MANZESE MANAKE UMESHAYAONA KWA MACHO...haya yale macho ya mwanzo yalokuwa hayaoni umwyaweka wapi?...jikaze weweeee unadanganya wakati mambo yapo wazi
Ali Kiba
Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000.
Ali Kiba
Jina la kuzaliwa
Ali Saleh Gentamilan
Amezaliwa
Novemba 29 1986 (umri 32)
Asili yake
Tanzania
Aina ya muziki
Mwanamuziki
Kazi yake
Mwimbaji Mwanasoka
Aina ya sauti
Sauti, Piano
Miaka ya kazi
2006 -
Studio
Rockstars4000
Kings Music
Ame/Wameshirikiana na
R. Kelly
Abdu Kiba
Christian Bella
Ommy Dimpoz
M.I
Patoranking
Abby Skills
Mr. Blue
Tovuti
www.kingkiba.com
Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.
Maisha yake
Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wanne, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.
Mafanikio
Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.
Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.
Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.
Mwaka 2017 alitajwa kuwa na utajiri wa kiasi cha dola milioni 5 za kimarekani, huku hasimu wake mkubwa katika anga hiyo ya muziki akitajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 4 za kimarekani
Hivi karibu alitoa kibao kilichotikisa Africa na duniani kote kikijulikana kama KADOGO kibao kinachoelezwa kimemwingizia pesa nyingi mno kutokana na namna kilivyotengenezwa kwa umahiri mkubwa.
Mimi nikinunua plain t shirt nikaiandika King Kiba kisha nikauza, Ali Kiba ananufaikaje?
Sasa hapa utajir wake upo wapi? Pamoja na kumzid umri Nasibu abdul lakn hamgus hata nusu ya utajiri na mafanikio yake kimziki, tunzo za kimataifa na za ndani achilia mbali matangazo, record lebel, medias( wasafi tv&fm) achana nae huyu mtoto bana
Kwani ukiwa na umei mkubwa basi lazima ndo uwe na pesa nyingi hahahahaaaaa....kumkopare king n ngumu coz huwa hasemag na ndo mana hata MASHABIKI WA WCB HUWA MNAHISI HADI NYINYI MASHABIKI MNA HELA NYINGI KULIKO KIBA.
Faida ya ukubwa n ipi? Huyu mnampa umaskin nyie wenyeeewe, hana mvuto tena anatembelea nyota ya diamond... mwenzake ana show kila uchwao yeye show moja baada ya mwaka, mwenzake ana mikataba na makampun makubwa kuwatangazia biashara yeye anaruka ruka tu mjin hapa na kina sudi brown[emoji23][emoji23][emoji23]

Vizuri ukaanza kumfuatilia maana haweki public mambo yake kila MTU ayajue kama mwenzake, lakini utajiri sio kuivest tu Bali pia wanatazama AKAUNT yako ina nini ukiacha vile ulivyowekeza hadharaniUtajiri ni investments ulizonazo. JeAli Kiba ana investment gani? Je analipa kodi?
Anatumia nguvu kubwa mno kumtangaza mpendwa wake. Watanzania sio wajinga wana Macho labda hiyo AK angemfananisha na yule dogo wa Wasafi anayetokea Mbeya.Vyote hivyo havionekani kwa macho.
Ak's ni duka la wahindi tena la zamani sana liko Samora Avenue na zamani walikuwa na Branch Mlimani city.
Ali Kiba aache kuwadangañyeni
Mtu hujawah hata KUONA NGUO YAKE ILIYOANIKWA LIVE NGUO TU SIYO YEYE MWENYEWE afu nawe unajifanya unamjuuuuuuuuuuuQUOTE]Angalia unavyoongea kwa mihemko, jifunze ku handle hisia zako. Alikiba una mjua, mim una nijua hata useme simfahamu.
By the way, akili yako inakutuma hata uishi ndio humjue , basi masafa yako ya akili na sense zako za utambuzi ni ndogo sana. Hapo nimeongelea baya lenye afadhari... Ciao bela!
Vizuri ukaanza kumfuatilia maana haweki public mambo yake kila MTU ayajue kama mwenzake, lakini utajiri sio kuivest tu Bali pia wanatazama AKAUNT yako ina nini ukiacha vile ulivyowekeza hadharani