Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,733
Rihanna yule wa Kkoo au yupi??Huyu Gigy bangi zimemzidi, hajui kuwa Kingkiba level zake kwa sasa ni wakina Rihana? Aache ujinga kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rihanna yule wa Kkoo au yupi??Huyu Gigy bangi zimemzidi, hajui kuwa Kingkiba level zake kwa sasa ni wakina Rihana? Aache ujinga kabisa
Eti king Levo zake kina rahanna!!!!!....Huyu Gigy bangi zimemzidi, hajui kuwa Kingkiba level zake kwa sasa ni wakina Rihana? Aache ujinga kabisa
ahahhahahAlly kiba mambo yake bwana, mtu ukiambiwa huamini, Kama wana msingizia vile..!
Hivi kwanini unafikiri Kiba anafanana na Bushman wale wa xhosa wanaoishi maporini kule namibia... akili zake ni unique.hata kama kingkiba angekuwa anatumia cha Arusha hawezi kufanya hiki.
unashangaa nini.. ndege wanao fanana huruka pamoja kiba==gigy moneyStory ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba kuongelea uhusiano wao kwa sasa na hawezi kuongelea kwa sasa na uko insta amewarushia kijembe mashabiki wa kiba na kuwauliza kwan kiba sio mwanaume baada ya team kiba kupanick na mapovu kuwatoka.
Story hii inakuja miezi kadha baada ya Gigy kumlalamikia Jokate kumuibia Ali kiba na ikumbukwe ivi sasa Jokate hawapo kwny terms nzuri na King Kiba
![]()
![]()
Huyu Gigy bangi zimemzidi, hajui kuwa Kingkiba level zake kwa sasa ni wakina Rihana? Aache ujinga kabisa
nyege hazina level mkuuHuyu Gigy bangi zimemzidi, hajui kuwa Kingkiba level zake kwa sasa ni wakina Rihana? Aache ujinga kabisa
ulitaka kusema Rihana au jimamaHuyu Gigy bangi zimemzidi, hajui kuwa Kingkiba level zake kwa sasa ni wakina Rihana? Aache ujinga kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo level zake hizo kibakuri
Mmmhh hii misemo kwa sisi wa vijijini wala hatuelewi, cha Arusha ndo nini dada?hata kama kingkiba angekuwa anatumia cha Arusha hawezi kufanya hiki.