Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

Nakumbuka Ney wa mitego ashawahi kumuongelea giggy money.. Chukueni ile audio mpelekeeni kiba
 
Story ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba kuongelea uhusiano wao kwa sasa na hawezi kuongelea kwa sasa na uko insta amewarushia kijembe mashabiki wa kiba na kuwauliza kwan kiba sio mwanaume baada ya team kiba kupanick na mapovu kuwatoka.
Story hii inakuja miezi kadha baada ya Gigy kumlalamikia Jokate kumuibia Ali kiba na ikumbukwe ivi sasa Jokate hawapo kwny terms nzuri na King Kiba
187f8c251cb708e5aeb01e537a06546c.jpg
0f6b3c5ad58ad55df7b243ebfb537ccd.jpg
unashangaa nini.. ndege wanao fanana huruka pamoja kiba==gigy money
 
Back
Top Bottom