Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

attachment.php
 
Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..

King of the jungle na music wapi na wapi?

My lord. Amkeni watoto.

hahahaha kwahyo na hao akina beckham, chan nao vipi
 
Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..

King of the jungle na music wapi na wapi?

My lord. Amkeni watoto.

Hamkawii kusema Dai anashushwa.
 
Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je

Wasanii wengi ni mabalozi katika miradi mbalimbali,diamond ni ambassador katika miradi mingi sana,sema tu sisi hatunaga matangazo

Kwa wenzetu hili ni jambo kubwa sana kwao team kiba kwa sababu walikuwa kwenye Comar ndio maana unaona wanashangilia sana.
Usitegemee mabadiliko yeyote ya kiuchumi kwa king(without palace,means nothing)
Kawaida sana.
 
Safi sana Ali Kiba. Umeshafanya kazi na world top class ie RKelly sasa uko wengine Kate Hudson Leonard DiCaprio PrinceWilliam DavudBeckham n wengine. Hao wanaobemendwa na bibi zao waendelee tu.
Najuiliza huyo kijacho kitamuita Baba Anko au Domo atamuita kijacho baba au anko

Good move huo ni mwanzo mzuri kwake. All the best.
 
vitu vidogovidogo sana hivo, hasi msanii kama Mwasiti naye balozi
 
Hiz deal zingine ambazo hazina maslai ni ujinga ujinga mtupu
 
Ivi apa king alikuwa anaongea nini vilee
 

Attachments

  • 1434634943197.jpg
    1434634943197.jpg
    28.6 KB · Views: 307
Back
Top Bottom