Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
basi na huku wachunga ng'ombe kumbe nao wapo kwenye fashion sikujuaa
Kama unamaanisha taste ya nguo huna. ..dem yeyote mkali mjanja hawezi kuikandia hiyo code ya Ally alioswitch hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi na huku wachunga ng'ombe kumbe nao wapo kwenye fashion sikujuaa
vigezo walivyotumia kukusajili wewe jamiin forum
Ulitaka achaguliwe Chibu hahahhaha yani nyie kila kitu mnalalamika,
Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..
King of the jungle na music wapi na wapi?
My lord. Amkeni watoto.
Kama unamaanisha taste ya nguo huna. ..dem yeyote mkali mjanja hawezi kuikandia hiyo code ya Ally alioswitch hapo
utaishia hvyo hvyo km mimi
hao aliopiga nao picha kuwaona kwenye video na magazetiiiiiiii
pole sana kakaa.....!!
We kweli vidudu mtoni huvijui. .tembelea website za fashion italy uone hizo suruali zinagongwa na wakali gani. .umekaririshwa majeans mchaniko na jogger trousers za wacheza show
uwe unaniita baasss.....
wanoko wapo toka enzi za manabiii...!!
dawa yao tu put them in their places and give them black and white....
kuna watu wapo kupondaaaaa... tu sijui wamezaliwa wapiii
chochote akifanyacho mtu mradi hampendi bas ht kizuri kitakua nnyaaaa
mbadilike nyie mbwigaaaa....!!!#
Ivi una anzaje anzaje kumtaja BECKS, CHAN, na KIBA ktk kundi moja. How!!
vitu vidogovidogo sana hivo, hasi msanii kama Mwasiti naye balozi
Hiz deal zingine ambazo hazina maslai ni ujinga ujinga mtupu
suruali aliyovaa ,huku wanachungia ng'ombe,yaan king habadilikii
We kweli vidudu mtoni huvijui. .tembelea website za fashion italy uone hizo suruali zinagongwa na wakali gani. .umekaririshwa majeans mchaniko na jogger trousers za wacheza show
Analipwa sh ngapi?
Tusubiri colabo akimshirikisha jack chan😆
Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je