teh hehehehee....
Dah! Ndo tuzo 5 zimeanza kazi.
Kiba goo goooooo usiangalie wanonkhoo
Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je
Toa pongezi basiiii
Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..
King of the jungle na music wapi na wapi?
My lord. Amkeni watoto.
Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..
King of the jungle na music wapi na wapi?
My lord. Amkeni watoto.
jamani msisahau kuVOTE kwa Chibu atuletee watanganyika tuzo za mtv ama nini? barida
Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je
hahahaha kwahyo na hao akina beckham, chan nao vipi
Safi sana Ali Kiba. Umeshafanya kazi na world top class ie RKelly sasa uko wengine Kate Hudson Leonard DiCaprio PrinceWilliam DavudBeckham n wengine. Hao wanaobemendwa na bibi zao waendelee tu.
Najuiliza huyo kijacho kitamuita Baba Anko au Domo atamuita kijacho baba au anko