Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..

King of the jungle na music wapi na wapi?

My lord. Amkeni watoto.


utaishia hvyo hvyo km mimi
hao aliopiga nao picha kuwaona kwenye video na magazetiiiiiiii

pole sana kakaa.....!!
 
Kama unamaanisha taste ya nguo huna. ..dem yeyote mkali mjanja hawezi kuikandia hiyo code ya Ally alioswitch hapo


Mimi sio mkali wala mjanja ila huku wanachungia ng'ombe hizo surual
 
utaishia hvyo hvyo km mimi
hao aliopiga nao picha kuwaona kwenye video na magazetiiiiiiii

pole sana kakaa.....!!

Ninakuamini wewe si mfia timu kivile, at least uwa una balance mizani,
ok. Nimpongeze kiba kwa tukio hlo kwa mantiki ipi labda.?

Sina mawivu yasiyo na maana. Ila sioni kama hii newz.
 
We kweli vidudu mtoni huvijui. .tembelea website za fashion italy uone hizo suruali zinagongwa na wakali gani. .umekaririshwa majeans mchaniko na jogger trousers za wacheza show

Hahaaa wengi unafikiri hawajui basi tu kukosoa bongo wamezoea mtu ili awe msanii ni lazima avae ma jeans yaliyochanika na kuvaa skirt mwanaume eti ndo anaonekana mjanja.
 

Wanaponda huku wanapromote uzalendo.....hahahaaaaa wameshikwa na aibuuuuuuuuuuuuu
 
Khaaaaaah sikuipata hii

Hivi kuna watu wanajiita.wa kimataifa and then hawajaonekana mpaka ameonekana.Kiba..!! Roho zinawacheketua huko waliko mpaka midundo yake inasikika hapa Jf..!! Eti Icon Hahahahahhaha Congratulations King Kiba

Cheketuuuuuuaaaaaaaa...!!!!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
We kweli vidudu mtoni huvijui. .tembelea website za fashion italy uone hizo suruali zinagongwa na wakali gani. .umekaririshwa majeans mchaniko na jogger trousers za wacheza show

mine wapori pori hao wanaujua wapi mambo hayooo...
washukuru barabara za kuunganisha kanda ya ziwa zimejengwaa...
treni siku hizi wamepunguza kuzamia...
 
Wema sepetu>Faraja Kotta>Lazaro Nyalandu>Ali Kiba....kapewa tu huyo kishkaji
 
Analipwa sh ngapi?
Tusubiri colabo akimshirikisha jack chan😆

Kawaida sana hiyo dina!ingekuwa ishu yenye mpunga wa maana huko instagram leo kungechafuka matusi!!tungetukanwa huko mpaka tungefunga account zetu insta.

Celebrity wengi sana bongo hii ni mabalozi wa masharika na miradi mbalimbali kwenye wizara nyingi sana.
Wanshangilia kwasababu wamekaa sana ICU kwa hiyo kwao wamefanya bonge la ishu.

Wasanii wengi wamezoe kuwa mabalozi,labda upcoming artist kama kiba ndio inawashtua!wakina barnaba washazoe ubalozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…