Ninakuamini wewe si mfia timu kivile, at least uwa una balance mizani,
ok. Nimpongeze kiba kwa tukio hlo kwa mantiki ipi labda.?
Sina mawivu yasiyo na maana. Ila sioni kama hii newz.
Khaaaaaah sikuipata hii
Hivi kuna watu wanajiita.wa kimataifa and then hawajaonekana mpaka ameonekana.Kiba..!! Roho zinawacheketua huko waliko mpaka midundo yake inasikika hapa Jf..!! Eti Icon Hahahahahhaha Congratulations King Kiba
Cheketuuuuuuaaaaaaaa...!!!!!!!!!
BACK TANGANYIKA
Wanaponda huku wanapromote uzalendo.....hahahaaaaa wameshikwa na aibuuuuuuuuuuuuu
Wema sepetu>Faraja Kotta>Lazaro Nyalandu>Ali Kiba....kapewa tu huyo kishkaji
Yaani leo umenikoshaa jaman loooo umewamwagia ukweli tupu yaani.
Sijui kwanza nikupe zawadi gani.... ebu shika hiii kwanza.. mmmmmm.....mwah.!
ndo maana nawaitaga wanafkiii
dalili ya wanafiki ndo hiii...moja wapo!!
uzalendo kwao..tena kwenye tunzo za mtu binafsi
sio kwa hili la kuhifadhi our rasilimali zetu kwa vizazi vijavyooo
hizo akili matopeee...
aseante MUNGU kwa huu ualimu wangu wa primary...!!
maana hao injinias na wahasibu sifuri kabisaa...
Aiiiggghhhhhhhh....!!!!!
Yaani mpaka utumbo unatetemeka, ukirudia mara ya pili unazimishaaaaaaaas..!!
BACK TANGANYIKA
Kama unamaanisha taste ya nguo huna. ..dem yeyote mkali mjanja hawezi kuikandia hiyo code ya Ally alioswitch hapo
Heheheeeeiyaaa halooo ya surprise ya xxl ndo inayowatoa roho mlijua zari ndo kajifungua ndo mnatangaziwa mtoto wa taifa eeee? Imekula kwenu mwaka huu mnalo kila kona tumewaziba mnaanzaje kupita?
Ivi apa king alikuwa anaongea nini vilee
shauri yako utaishia hvyo hvyoo...!!
iwe newz isiwe newz ujumbe umeupata na utaufanyia kazi..!!
Ndo hapo sasa kwa ulalamishi hawajambo kila kitu wao wakifanya wengine ni kosa kabisa..
Eti MTU wao ni balozi wama shirika mengi kwa hyo kwao sio newz.
Wonders shall never end sometimes we need to hide our hypocracy a little bit and hatred loh.
Inapokuja kwenye tuzo ndo uzalendo ni kuita Watanzania wanafiki wenye wivu hadi na uchawi hutamkwa.
Ila kwa kiba ni Sawa kumu diss daily mana hana kitu.
Unafiki + uzandiki ni shiiiiiiiider tupu.
Bora kiba anayrfanya campaign ni Tembo ili kusaidia wasitoweke dunia for our future generation to come.
Wasanii wengi ni mabalozi katika miradi mbalimbali,diamond ni ambassador katika miradi mingi sana,sema tu sisi hatunaga matangazo
Kwa wenzetu hili ni jambo kubwa sana kwao team kiba kwa sababu walikuwa kwenye Comar ndio maana unaona wanashangilia sana.
Usitegemee mabadiliko yeyote ya kiuchumi kwa king(without palace,means nothing)
Kawaida sana.