Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

​Itakuwa inamuingizia shilingi ngapi ?????????
 
Ninakuamini wewe si mfia timu kivile, at least uwa una balance mizani,
ok. Nimpongeze kiba kwa tukio hlo kwa mantiki ipi labda.?

Sina mawivu yasiyo na maana. Ila sioni kama hii newz.

shauri yako utaishia hvyo hvyoo...!!
iwe newz isiwe newz ujumbe umeupata na utaufanyia kazi..!!
 
Khaaaaaah sikuipata hii

Hivi kuna watu wanajiita.wa kimataifa and then hawajaonekana mpaka ameonekana.Kiba..!! Roho zinawacheketua huko waliko mpaka midundo yake inasikika hapa Jf..!! Eti Icon Hahahahahhaha Congratulations King Kiba

Cheketuuuuuuaaaaaaaa...!!!!!!!!!

BACK TANGANYIKA

Yaani leo umenikoshaa jaman loooo umewamwagia ukweli tupu yaani.
Sijui kwanza nikupe zawadi gani.... ebu shika hiii kwanza.. mmmmmm.....mwah.!
 
Hongera zakee.
Tuache ubinafsi kwenye pongez tunasema! Duuh...wakaanga sumu bana!
 
Wanaponda huku wanapromote uzalendo.....hahahaaaaa wameshikwa na aibuuuuuuuuuuuuu

ndo maana nawaitaga wanafkiii
dalili ya wanafiki ndo hiii...moja wapo!!

uzalendo kwao..tena kwenye tunzo za mtu binafsi
sio kwa hili la kuhifadhi our rasilimali zetu kwa vizazi vijavyooo

hizo akili matopeee...

aseante MUNGU kwa huu ualimu wangu wa primary...!!
maana hao injinias na wahasibu sifuri kabisaa...
 
Wema sepetu>Faraja Kotta>Lazaro Nyalandu>Ali Kiba....kapewa tu huyo kishkaji

we pia nashangaa wamekuachaje..
zarina....babu tale...ridhwani...daimond...na wewee..
vp au ulikataaaa....
mxiuiiiiiiiiuuuuuu
 
Yaani leo umenikoshaa jaman loooo umewamwagia ukweli tupu yaani.
Sijui kwanza nikupe zawadi gani.... ebu shika hiii kwanza.. mmmmmm.....mwah.!

Aiiiggghhhhhhhh....!!!!!

Yaani mpaka utumbo unatetemeka, ukirudia mara ya pili unazimishaaaaaaaas..!!

BACK TANGANYIKA
 
ndo maana nawaitaga wanafkiii
dalili ya wanafiki ndo hiii...moja wapo!!

uzalendo kwao..tena kwenye tunzo za mtu binafsi
sio kwa hili la kuhifadhi our rasilimali zetu kwa vizazi vijavyooo

hizo akili matopeee...

aseante MUNGU kwa huu ualimu wangu wa primary...!!
maana hao injinias na wahasibu sifuri kabisaa...

Ndo hapo sasa kwa ulalamishi hawajambo kila kitu wao wakifanya wengine ni kosa kabisa..
Eti MTU wao ni balozi wama shirika mengi kwa hyo kwao sio newz.
Wonders shall never end sometimes we need to hide our hypocracy a little bit and hatred loh.
Inapokuja kwenye tuzo ndo uzalendo ni kuita Watanzania wanafiki wenye wivu hadi na uchawi hutamkwa.
Ila kwa kiba ni Sawa kumu diss daily mana hana kitu.
Unafiki + uzandiki ni shiiiiiiiider tupu.
Bora kiba anayrfanya campaign ni Tembo ili kusaidia wasitoweke dunia for our future generation to come.
 
NASEMA HIVII KILA ANAYEPINGA TUZO ZA KIBA NA ANAYEMWONEA WIVU KISA KAWA BALOZI ni mpuuuz hana jipya....... na badooo.
Wote nyie ni vikalagosi tuu tena utumbo wa nyongeza wengi wenu ata kufua chupi na kuosha uchi hamjui mmekaliaa kudisi tuuu.
Heheheeeeeiyaaaaaa wazee wa kukurupuka na kwa taarifa yenu safari ya king ndo ishaanza hutaki kazini na nguruwe ndo tujue hutaki...
Kiba kaza mwendo hb wetuu acha hawa wajingaaz wa foke kama shampein sisi tupo nyuma yako na ndo fans wako wa ukweli.
 
Heheheeeeiyaaa halooo ya surprise ya xxl ndo inayowatoa roho mlijua zari ndo kajifungua ndo mnatangaziwa mtoto wa taifa eeee? Imekula kwenu mwaka huu mnalo kila kona tumewaziba mnaanzaje kupita?
 
Heheheeeeiyaaa halooo ya surprise ya xxl ndo inayowatoa roho mlijua zari ndo kajifungua ndo mnatangaziwa mtoto wa taifa eeee? Imekula kwenu mwaka huu mnalo kila kona tumewaziba mnaanzaje kupita?

Mwenzanguuu,
Hello hello ya tuzo za kili!
Kuna watu wana roho za korosho kupita maelezooo!
Hao shehtwan mwenyewe aliwashindwa tutawaweza sie??
Vote! Vote! Vote!
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!
Wanakazana kuuliza analipwa shillingi ngapi inahuuuu!
Halipwi, pelekeni babu zenu basi tuone kama watapokelewa!
Mxiiiu....
 
Kumekucha kwa hiyo atakuwa ofisi moja katikati ya mbuga na Chan maana alivyo na wivu si atampiga Chan aliyemzidi kwa kila kitu?
 
Ndo hapo sasa kwa ulalamishi hawajambo kila kitu wao wakifanya wengine ni kosa kabisa..
Eti MTU wao ni balozi wama shirika mengi kwa hyo kwao sio newz.
Wonders shall never end sometimes we need to hide our hypocracy a little bit and hatred loh.
Inapokuja kwenye tuzo ndo uzalendo ni kuita Watanzania wanafiki wenye wivu hadi na uchawi hutamkwa.
Ila kwa kiba ni Sawa kumu diss daily mana hana kitu.
Unafiki + uzandiki ni shiiiiiiiider tupu.
Bora kiba anayrfanya campaign ni Tembo ili kusaidia wasitoweke dunia for our future generation to come.

yani jema lao kwa wenzao baya sijui wakoje hawa watu...!!
angechaguliwa wa kwao hapa nyuzi zingekua miaa..!!
 
Wasanii wengi ni mabalozi katika miradi mbalimbali,diamond ni ambassador katika miradi mingi sana,sema tu sisi hatunaga matangazo

Kwa wenzetu hili ni jambo kubwa sana kwao team kiba kwa sababu walikuwa kwenye Comar ndio maana unaona wanashangilia sana.
Usitegemee mabadiliko yeyote ya kiuchumi kwa king(without palace,means nothing)
Kawaida sana.

Yaani umenena
Palace bado bado kabisa anasubiri kula za J za wachina akiweza mtapeli mahaba feki
 
Back
Top Bottom