Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

yani jema lao kwa wenzao baya sijui wakoje hawa watu...!!
angechaguliwa wa kwao hapa nyuzi zingekua miaa..!!

Wanapenda wafanikiwe wao peke yao.
Achana naoooo voteee voteee voteee!
 

Attachments

  • 1434643542488.jpg
    17.7 KB · Views: 118
Analipwa sh ngapi?
Tusubiri colabo akimshirikisha jack chan😆

yaani uwiiiiii mbavu zangu

wanazani watu watataka tembo kusikia sauti zao kwa spika na wakutembea nao ndio na yeye kupata chati kupaa kupitia hivyo...
 


"You see this little guy? He's an orphan. He lost his mother and father after poarches. Make sure Elephants gets to live normal life in their family in the wild.

Please report poaching and Ivory smuggling, because poaching steals from us all". - By Ally Kiba - Tanzania's musician.

*******

"Unamuona huyu kijana? Ni yatima. Amepoteza wazazi wake baada ya uwindaji haramu. Hakikisha Tembo wanaendelea kuishi kama kawaida na familia zao mbugani.

Toa taarifa kuhusu biashara ya pembe za ndovu na ujangili, kwa sababu ujangili unatuumiza sote".
- Ally Kiba - Mwanamuziki kutoka Tanzania.
 
Last edited by a moderator:


wao ndio Mara ya kwanza naona ndio maana wahabuka habukaa ,halau huyu geniveros huyu we muache Tu,muhurumie huaga ni rafiki yangu
 
wanachonichekesha kujifanya wajuaji kumbe hamna lolote yani nawajibu huku nawacheka
uzuri tuko wawili hapa tunawashangaa walivyo na viroja ...

yani wamezaliwa kuja kupinga kila kitu duniani...!!

Tupa kuleeee!
Vote! Vote! Vote!
Vote for Davidoooo!
Kiba ndio ashapata ubalozi, wanachamba,wanakunya, wanakojooa au wanawanga haina maaana!
 
African Wildlife Foundation, WildAid Launch Anti-Poaching Campaign with Tanzanian Government

"All Tanzanians, no matter where they live, are stakeholders in the country's wildlife resource," said Peter Knights, CEO of WildAid. "The tagline for this campaign, ‘Ujangili Unatuumiza sote' (poaching steals from us all), is a reminder that those who are poaching elephants and smuggling their ivory to east Asia are stealing from all Tanzanian citizens."

The joint campaign will use Swahili-language radio and television, social media, newspapers and magazines, billboards and videos in public spaces in order to reach as many members of the public as possible. "We are making plans to ensure that even people living in remote rural villages will have an opportunity to hear our messages," said Knights.

Celebrated singer Alikiba has become the first Ambassador for the campaign. "I'm honoured to lend any support that I can to this campaign," Alikiba said. "Our beautiful elephants must be allowed to live, free and wild, instead of ending up as a carving on somebody's coffee table."


 
cute b naona umetuchamba sie timu bin laden ,Timu chibu,timu wasafiiiiiiiiii babyyyyyyyyyyyy,hili hapa gazet nimelitoa sehemu muone na nyie mnavyosemwaaa
 

Attachments

  • wp_ss_20150617_0004.png
    84.2 KB · Views: 122
Last edited by a moderator:
Kumekucha kwa hiyo atakuwa ofisi moja katikati ya mbuga na Chan maana alivyo na wivu si atampiga Chan aliyemzidi kwa kila kitu?

hamna hatakua ofisi moja ila watakua wanakutana inapohitajika
mfano(am sorry lakini daimond alivyokua balozi wa coca sidhani km alikua anafanya hao mabalozi wengine bali hukutana na yy kwa kua msanii atatunga nyimbo kupinga dhidi ya tembo)

mzuriwewe aly ameshawahi kukutukana au kukujibu jeuri kati yako wewe au ht mtu mmoja ktk familia yenu
hadi useme ana wivu atampiga jack chan
 
The KING of the JUNGLE..

waaohh! What a title.
 
cute b naona umetuchamba sie timu bin laden ,Timu chibu,timu wasafiiiiiiiiii babyyyyyyyyyyyy,hili hapa gazet nimelitoa sehemu muone na nyie mnavyosemwaaa

Huko ndipo mnapokimbiliaga kila siku.
HAMNA TUSI JIPYAAA.
 
Last edited by a moderator:
Ala nilidhani wanyama pori ndo mabalozi wa kiba ...!ndo ingekuwa news..😡
 
The KING of the JUNGLE..
waaohh! What a title.

Positive souls will see that as a figurative language;

KING OF THE JUNGLE:
King = The Leader
Jungle = Music Industry

Figure it out yourself!

Mind you: Afande Sele is also the King (Lion), Isha Mashauzi is the Queen (Lioness). ACCORDING TO THEMSELVES!

I'm Out!
 
yani jema lao kwa wenzao baya sijui wakoje hawa watu...!!
angechaguliwa wa kwao hapa nyuzi zingekua miaa..!!

Ndo zao hizo kila kitu kibaya du chao tu kisifiwe kwa wengine kosa. Hapo ingrkua mtu wao sasa wangechangamka ka wametiwa pilipili. Vtu vingine unajisogeza tu na kuwa na kiasi sio lazma kuongea.
Ukimya nao huwa jibu tosha sana tu.
Ukitaka umjue mtu roho yake chake comments zake ndo hivo alivo rohoni mwake.

U timu uki take serious unaweza kuchizika haki ya nani vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…