Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
yani jema lao kwa wenzao baya sijui wakoje hawa watu...!!
angechaguliwa wa kwao hapa nyuzi zingekua miaa..!!
Wanapenda wafanikiwe wao peke yao.
Achana naoooo voteee voteee voteee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani jema lao kwa wenzao baya sijui wakoje hawa watu...!!
angechaguliwa wa kwao hapa nyuzi zingekua miaa..!!
Analipwa sh ngapi?
Tusubiri colabo akimshirikisha jack chan😆

Kawaida sana hiyo dina!ingekuwa ishu yenye mpunga wa maana huko instagram leo kungechafuka matusi!!tungetukanwa huko mpaka tungefunga account zetu insta.
Celebrity wengi sana bongo hii ni mabalozi wa masharika na miradi mbalimbali kwenye wizara nyingi sana.
Wanshangilia kwasababu wamekaa sana ICU kwa hiyo kwao wamefanya bonge la ishu.
Wasanii wengi wamezoe kuwa mabalozi,labda upcoming artist kama kiba ndio inawashtua!wakina barnaba washazoe ubalozi
wanachonichekesha kujifanya wajuaji kumbe hamna lolote yani nawajibu huku nawacheka
uzuri tuko wawili hapa tunawashangaa walivyo na viroja ...
yani wamezaliwa kuja kupinga kila kitu duniani...!!

Kumekucha kwa hiyo atakuwa ofisi moja katikati ya mbuga na Chan maana alivyo na wivu si atampiga Chan aliyemzidi kwa kila kitu?
Wanapenda wafanikiwe wao peke yao.
Achana naoooo voteee voteee voteee!
The KING of the JUNGLE..
waaohh! What a title.
Ala nilidhani wanyama pori ndo mabalozi wa kiba ...!ndo ingekuwa news..😡
Chibu yupo jikoni na donald sauzi wanapika kitu kipya nyie kaen na kiba wenu wa wanyama mwitu msituni .
Hakuna mshahara zaidi ya kupiga mihayo tu njaa kali.
yani jema lao kwa wenzao baya sijui wakoje hawa watu...!!
angechaguliwa wa kwao hapa nyuzi zingekua miaa..!!