Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Kampeni mpya kupambana na Ujangili wa Tembo duniani yazinduliwa. Msanii Ali Kiba ateuliwa kuwa mmoja wa Mabalozi wa kampeni hiyo duniani.
attachment.php

attachment.php

"
Just announced at a press conference in Dar es Salaam this morning, I am proud to be the new Ambassador for WILDAID with Hasheem Thabeet and former Miss Tanzania, Jacqueline Mengi joined."

Magwiji wengine ambao wanaungana na KingKiba ni;

Jackie Chan, Yao Ming, Edward Norton, Prince William, David Beckham, Leonardo DiCaprio, Ralph Fiennes, Harrison Ford, Kate Hudson, Sir Richard na Branson!.

Hakika nyota ya Ali Kiba inang'aa. Na Nyota na ing'ae kwako wewe nakuombea.

Mwenyewe anakuambia "Asante Asanteni Sana! ‪#‎TeamKiba‬ ‪#‎KingKiba‬ ‪#‎ROCKSTAR4000‬ ‪#‎AWFfacts‬"

Attachments

  • kiba.png
    kiba.png
    89.7 KB · Views: 10,940
Last edited by a moderator:
Hongera 👏 👏 👏 👏 Alikiba that what we want to hear kutoka kwa wasanii wetu
 
''Hakika nyota ya Ali Kiba
inang'aa. Na nyota na
ing'ae kwako wewe
nakuombea.''

Nimecheka sana hicho kipande.
 
Watu tulikuwa standby kusubiri hiyo suprise!kumbe ni kiba kuwa balozi wa wanyama?na yenyewe ni suprise sasa ya kushangaza watu??

Kweli mmeishiwa sera na mashiko!!hilo nalo ni ajabu kweli clouds?
 
Wapi nifah wangu jamani

Watu tulikuwa standby kusubiri hiyo suprise!kumbe ni kiba kuwa balozi wa wanyama?na yenyewe ni suprise sasa ya kushangaza watu??

Kweli mmeishiwa sera na mashiko!!hilo nalo ni ajabu kweli clouds?

Chibu yupo jikoni na donald sauzi wanapika kitu kipya nyie kaen na kiba wenu wa wanyama mwitu msituni .
 
Last edited by a moderator:
Watu tulikuwa standby kusubiri hiyo suprise!kumbe ni kiba kuwa balozi wa wanyama?na yenyewe ni suprise sasa ya kushangaza watu??

Kweli mmeishiwa sera na mashiko!!hilo nalo ni ajabu kweli clouds?

hahahaha Kimbley a.K.a fetty, unajua kuponda wewe, mara balozi wa wanyama mara tuzo za ki-local, inaelekea siku ile pale jukwaani ulikwazika kila uliposikia jina la kiba, wapi cute b
 
Last edited by a moderator:
hahahaha Kimbley a.K.a fetty, unajua kuponda wewe, mara balozi wa wanyama mara tuzo za ki-local, inaelekea siku ile pale jukwaani ulikwazika kila uliposikia jina la kiba, wapi cute b

kichwaaa!!muone kwanza!mi sio fetty dj hivyoo loh!kua balozi kiba sio mbaya na sio ajabu pia kwake kwasababu ameshakua balozi sana tu katika vitu na makampuni mbalimbali,
Wasanii wengi sana ni ambassadors katika miradi mbalimbali
Nothing new!!(kwasauti ya wakuvyanga)
 
Last edited by a moderator:
Ni nzuri kwa wasanii wetu kuwa mabalozi wa vitu kama hivyo. Hongera kwake!!!
 
Back
Top Bottom