Ali Kiba na studio AY na muziki Diamond muziki studio na biashara

Ali Kiba na studio AY na muziki Diamond muziki studio na biashara

Nice anayesikia na asikie, wabongo wengi hatupendi kujituma tunategemea bahati na zali na ndio maana kutwa kwenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa za bahati, sijui mvuto ktk biashara, wakati. solution ni kujituma na kufanya investment katika biashara yako. Diamond mziki ni maisha yake, biashara yake na ndio maana anafanya investment na yupo serious sana.
 
Kingsley Chinweike Okonkwo "Kcee" daaadek watu wana majina hatari... Omary Nyembo haoni ndani
 
Nimependa uchambuzi wako!
Umeongea ukweli mtupu sema kama kawaida ya wabongo kutopenda kusoma makala ndefu sidhani kama watasoma na kuelewa!

Hongera sana
 
Ungerekodi ingekuwa bora wengine hatujazoea kusoma hadithi
 
Ndefu sana aiseee.

ifupishe mkuu upate wasomaji wengi.
 
Uandishi wa makala za kuwachambua Ali kiba na diamond umepitwa na wakati

Kwa sababu mashabiki wa pande zote mbili wanajua uzuri na ubaya wa msanii wanao mshabikia na ndo mana diamond hata akukuruke vp afanye collabo hata na Beyonce hawezi kumfanya shabiki wa kiba kuwa wake mfano kila mtu anauona kupitia mafanikio yake na collabo zake lkn bado mashabiki wa kiba wanaongezeka
Hali kadhalika kwa kiba nae sauti yake hata iwe nzuri kiasi gani bado hawezi kumfanya shabiki wa diamond kuwa wake mfano mzuri tunauona kiba alivyotulia akiwa na live band lkn bado mashabiki kwa diamond wanaongezeka

Makala hizi zinalenga tu kutengeneza civil war kwa mujibu wa koment zilizopo kwenye huu uzi,ni makala ya kutaka kummweka mmoja juu sana zaidi ya mwingine au kumfanya mmoja kati ya hawa aonekane hajui,wanaijeria wenyewe hawakosi usingizi kipindi cha MTV awards kikifika wanajua kule kuna yemi alade,davido,tekno,star boy mwenyewe,tiwa savage na wengine wengi so tuzo lazma zije Lagos na ndo mana kila category lazma ukute wanigeria wa2 au wa3 au category zingine utakuta tu wenyewe,lkn hapa watu hawalali kumfanyia upatu mtu mmoja wakiona mwingine zaidi ya huyo mmoja yupo kwenye tuzo za mtv basi watamponda km vile huyo mtu ni mkimbizi kutoka burundi kumbe ni mtz mwenzetu tu

Kwa hiyo haya maswala mara nyingi yanapotupiwa maeneo km haya yanalenga zaidi ushabiki na si vingine
 
Sema hili neno Promo,labda mim ndio silielewi. Kama huyo A.Y aliandikwa sana na vyombo vya habari vya marekani baada ya kutoa wimbo chini ya Master P,hyo sio promo?!! Au promo ni mpk instagram na hizi social media mpya za sasa?!!

Pili,kila jambo naona tunalitazama kiushabiki zaidi kuliko uhalisia. Stori ya Ali Kiba na M.I nadhani majibu wangetoa wao na sio mwandishi kukisia kuwa kijana Ali hakummudu msanii mwenzake.Hapa maana nzima na nzuri ya makala inapotea. Tuwaache kila mtu afanye yake na mashabiki zao waendelee kuwasapoti.
 
huo ni mtazamo wako na hao wanao waza km ww. kila mtu mungu amempa karama yake na anaitumia kwa uwezo wake. kutwa kukosoa wenzenu tu, unaacha kutathmin fursa znazokuzunguka na ww uzitumie vp, unaangalia ya wenzio tu.
 
Hahaha makala nzuri sana ila nakurekebisha tu msanii aloshirikishwa kutoonekana kwenye video sio KUTOMMUDU mfano criss brown ft. Kendrick Lamar.. Autumn Leaves ...kwenye video kendrick hayupo..je BREEZY hakummudu KEDRICK???
 
Nahisi nguvu ya management inakushusha au kukupandisha....kwasababu kwakipind chasasa management ndoinahangaika naww kila kitu so usiwasifu wala kuwanyoshea vidolewasanii ambao wananufaika au wanadhoofika kutokanana MANAGEMENT ZAO
 
Lazima kuangalia na zama na kipindi,enzi za akina AY mitandao ya kijamii ilikuwa haina hizo nguvu na pia kumbuka hata Mond anampa heshima AY kwa kumpa connection nje....

Lakini pia kwa ishu ya Mond na Kiba nafikiri management inahusika,Kiba anatumia management kufanya maamuzi ila mond anafanya maamuzi mwenyewe,hapo ndio utofauti unakuja na strategy,sitaki kuwalaumu sana wasanii kuhusu branding na promosheni sababu kiba hakugundua mapema nguvu ya media,skendo na promoshemi zinavyoweza kumuweka msanii kwenye kilele lakini hata mond mpaka leo bado hajajua brand ni nini kiundani zaidi ya kuongeza nguvu katika promosheni ndio maana kila siku anajiita brand za watu..RollsRoyce Musician,Dangote,Simba kesho anajiita toto la kimanyema yaani anabadilisha jina anapojiskia jina (diamond platnumz)soko ndio limemlazimisha ila angekuwa ameshabadilisha.

Hivyo ishu inakuja kuna haja ya kila mmoja kuisoma na kuitambua vizuri branding na jinsi ya kuisimamia sababu kama ukijua hadhi ya brand yako basi utajua kiwango cha uathiri na nafasi kwa jamii na fursa pia.

Kuendelea kuleta u kiba na mond ni kuushusha mziki wetu tukiwasaidia wote kwa pamoja mziki wetu utaongezeka hadhi na gharama kila siku.
 
Makala nzuri, ukiondoa exaggerations. Kwa mfano, Romeo has never been a world class rapper. AY recorded with artists who were struggling to get it poppin' themselves, so no amount of promo woulda helped his case.

Na ukifanya wimbo na Ne-Yo, kuandikwa kwenye blog kama thisIs50 is not really a feat.
 
Nasoma comment tu sichangii hii post [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom