Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Kweli binadamu tumeumbiwa kusahau, Washabiki wa Diamond hebu kuweni na msimamo basi, wakati Diamond anakuwa accused kuwa ananunua views aligoma na akatuaminisha kuwa mtu huwezi kununua views kamweKazi kweli.. Kuna namna.. Mambo ya fake views...
Wasafi tv ikaenda mbali zaidi ikafanya mahojiano na branch manager wa YouTube East Africa Kenya na akatuambia maneno yaleyale kuwa huwezi kununua views YouTube, sasa tunashangaa Leo kuanzia Kwa diamond mwenyewe Hadi washabiki wake kumattack Kiba kuwa ananunua views
Sasa je ukweli ni upi? Imekuaje Leo diamond mwenyewe anasema Kiba ananunua views ikiwa yeye aliwahi kukataa haiwezekani je ni kweli views wananunulika na kama wananunulika diamond nayeye ni Mnunuaji?