Ali Kiba ni msanii anayekuzwa kuliko uwezo wake (Overrated)

Ali Kiba ni msanii anayekuzwa kuliko uwezo wake (Overrated)

Ndugu mtoa maada, mtu hakatazwi kuwaza ila anakatazwa kuongea coz si kila utakachoongea ni muhimu vingine ni pumba kama unazozitoa. Alikiba mwenyew kasema hashindani na mtu ( nyie ndio mnaochochea high zisizo na maana kwa wasanii) kila msanii anaplay part yake katika muziki, kwa wapenda maendelea tunachoka sasa always mond na kiba utafikiri wanabifu vile. Mda mwingine kama hamna vya kuongea muwe mnakaa kimya tu
Wanaboa bhana kila siku kiba mbona kuna wasanii wengine kibao tu hawa ndo vibaraka wa domo
 
Maskini kiba wa watu, yani kila m2 anaeanza kujifunza kuandika thread anajifunzia kwako, laiti km jamaa angekuwa anafatilia haya mambo ya humu basi kuna siku mngeskia kiba kaomba uraia wa kenya maana kuna watu kwao kiba hanaga kizuri. Anyway me napita 2
 
Kinachomfanya kiba aongelewe mpaka leo hii ni diamond, yani kuna watu wao naturally wanamchukia diamond so inabidi tu wampigie debe kiba, ila kiukweli kiba yuko chini sana hata kwenye top 10 wasanii bora bongo hayumo.. Anakuwa overrated kwa kiasi kikubwa tu!!

Alafu anajifanya hashindani na mtu huo ni unafiki tu, yeye ndio aliyeanza chokochoko kwa mwenzake! Aseme tu amejitahidi kushindana lakini ameshaona dhahiri kuwa hana kiwango cha kushindana na wazee wa mwendo kasi kwahiyo ameamua aombe poo..
 
Kinachonisikitisha ni jinsi wanavyomjaza kichwa matokeo yake anabaki palepale, yanakuja madogo kama Harmonize yanampita huku fursa anaziona, so sad, tatizo wabongo hatupendi kuambizana ukweli
tofauti ya kiba na diomond ni kuwa kila kukicha diomond anabuni kitu kipya lakini kiba anaonyesha amerithika na alipofika
 
Aiseee kuna mijitu sijui ikoje!
Unachotaka kusema wewe ni nini?
Ali Kiba kwa kipaji chake kile unaanzaje kusema 'anakuzwa'?
Mwenyewe alishasema hashindani na mtu maana muziki anaufanya kwa njia zake mwenyewe, muziki wake haufanani na wanaofanya wengine.
Hivi hilo nalo ni la kutia shaka?
Jinga sana.
Tunaomuelewa Kiba na aina yake ya muziki tupo, humuelewi shut up.
Mtani mwaka huu swaumu haikupanda? Naona vijana wanakuzingua umeamua kukomaa nao.

Naamini ni utani tu hawapo serious. Karibu futari ndio muda huu.
 
Mtani mwaka huu swaumu haikupanda? Naona vijana wanakuzingua umeamua kukomaa nao.

Naamini ni utani tu hawapo serious. Karibu futari ndio muda huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe nae unataka kunichokoza tu...
Asante, karibu nawe pia.
 
Utakuwa unamzungumzia Ally Shein bila shaka sio King Kiba
 
Kiburi na dharau za wale vijana ndo tatizo .....jana nilikua namsikiliza mdogo wake abdul kaambukizwa mazereeuu na kakakee eti hawajui hao sijui WC ninii sijuii................kwa nyodo hizi hawatajifunza kitu na watabaki wanaumia kwa ndani kila siku japo ukweli ni dhahir lile genge linawakosesha raha..
 
Back
Top Bottom