Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazima ndio kwa sababu diamond kaanza juzi lakin mambo anayoyafanya ni makubwa kuliko huyo kiba wa miaka ileHivi ni lazima kumfananinasha Kiba Na Diamond ?
Mfananishe Kiba na wa miaka ile .Ni lazima ndio kwa sababu diamond kaanza juzi lakin mambo anayoyafanya ni makubwa kuliko huyo kiba wa miaka ile
kinachoangaliwa ni kuwa si bado yupo kwenye game na anaendelea na muziki kwan kaacha so ni lazima ujaribu kulinganisha kile alichofanya miaka ile je ni kilekile au kuna kilichobadilika au niyaleyale tu ya sikuzote kama wimbo wa taifaMfananishe Kiba na wa miaka ile .
Diamond na wa miaka hii .
Acheni uchonganishi.
Kama ni hivyo fananisheni nyimbo Zake za zamani na za sasa.kinachoangaliwa ni kuwa si bado yupo kwenye game na anaendelea na muziki kwan kaacha so ni lazima ujaribu kulinganisha kile alichofanya miaka ile je ni kilekile au kuna kilichobadilika au niyaleyale tu ya sikuzote kama wimbo wa taifa
Asante, hebu karibia kwangu tupate daku pls!Kama ni hivyo fananisheni nyimbo Zake za zamani na za sasa.
Msimlinganishe na Diamond maana wote wana style tofauti za uimbaji.
Abdul huyu huyu mwenye kinyimbo cha watoto eti Bayoyo, ha haaa ofcoz bado wana safari ndefu mno vijana hawaKiburi na dharau za wale vijana ndo tatizo .....jana nilikua namsikiliza mdogo wake abdul kaambukizwa mazereeuu na kakakee eti hawajui hao sijui WC ninii sijuii................kwa nyodo hizi hawatajifunza kitu na watabaki wanaumia kwa ndani kila siku japo ukweli ni dhahir lile genge linawakosesha raha..
Sio lazima kwa kweli na wala haina tija!Hivi ni lazima kumfananinasha Kiba Na Diamond ?
alikiba aliwahi kuongea amerudi kuchukua kiti chake cha ufalme..kauli yake hiyo inatosha kumfanya aonekane anashindana na domo maana mpaka sasa yeye ndio kakaa kwenye hicho kiti..Ndugu mtoa maada, mtu hakatazwi kuwaza ila anakatazwa kuongea coz si kila utakachoongea ni muhimu vingine ni pumba kama unazozitoa. Alikiba mwenyew kasema hashindani na mtu ( nyie ndio mnaochochea high zisizo na maana kwa wasanii) kila msanii anaplay part yake katika muziki, kwa wapenda maendelea tunachoka sasa always mond na kiba utafikiri wanabifu vile. Mda mwingine kama hamna vya kuongea muwe mnakaa kimya tu
Ofcoz ye ndo mfalme wa Bongo fleva kama unajua nin maana ya Bongo flevaalikiba aliwahi kuongea amerudi kuchukua kiti chake cha ufalme..kauli yake hiyo inatosha kumfanya aonekane anashindana na domo maana mpaka sasa yeye ndio kakaa kwenye hicho kiti..
Na wanachofikiria ni kila mshabiki wa kiba chanzo chake ni "kumchukia Diamond"Aiseee kuna mijitu sijui ikoje!
Unachotaka kusema wewe ni nini?
Ali Kiba kwa kipaji chake kile unaanzaje kusema 'anakuzwa'?
Mwenyewe alishasema hashindani na mtu maana muziki anaufanya kwa njia zake mwenyewe, muziki wake haufanani na wanaofanya wengine.
Hivi hilo nalo ni la kutia shaka?
Jinga sana.
Tunaomuelewa Kiba na aina yake ya muziki tupo, humuelewi shut up.
Wanataka na yeye aimbe nyimbo za kutaja majina ya watu nyimbo nzimaMnataka afanye hizo parakatumba zenu ndo muanze kumuelewa??
Ally Kiba : The real definition ya Bongo Flava,mtaimba hadi mdumange mwaka huu[emoji16][emoji16]
Sasa wew tukueleweje?Kinachonisikitisha ni jinsi wanavyomjaza kichwa matokeo yake anabaki palepale, yanakuja madogo kama Harmonize yanampita huku fursa anaziona, so sad, tatizo wabongo hatupendi kuambizana ukweli
Asante, hebu karibia kwangu tupate daku pls!
Nimekupenda bure.
Sidhani kama kuna atakayethubutu kuquote hii post kwa maana ya kujibu ulichouliza.Sikiliza "Aje" Ali Kiba ft M.I. Halafu tuijadili kuanzia beat, melody, harmony, creativity, lyrics, wordplay, punchlines, imagery etc.
Kama unafahamu vitu hivyo ni nini.