tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kibakuli mikwala tupu hiyo mofaya dar inauzwa wapi mana supermarket kubwa kama shopperz hakuna au anauzia tabata saneneKibakuli anajikutaga tu hatakagi shobo dundo...
Kibakula toka aitangaze haijawahi kuonekana madukani zaidi ya zile carton chache tuliona kwenye harusi yake,angekua mjanja toka amesema hii product ingekua kwenye pick mda huu,angempa deal hata mohans asambazeMofaya hiii hii wanayosema ni source ya ugonjwa wa dimpoz?
Hapo anatumia jina la wasafi kuiboost tu hana lolote. Anajikuta sana yule kaka utafikiri haend toiKibakula toka aitangaze haijawahi kuonekana madukani zaidi ya zile carton chache tuliona kwenye harusi yake,angekua mjanja toka amesema hii product ingekua kwenye pick mda huu,angempa deal hata mohans asambaze
Hajielewi anaendekeza uswahili tuHapo anatumia jina la wasafi kuiboost tu hana lolote. Anajikuta sana yule kaka utafikiri haend toi
ahaa machalii wa R chuga wamekusikia jombaa soon watafanya mafekeche .Bora hawa chalii za kule wakadhamini kuliko hio mo motoView attachment 924459
Huyu jamaa anawakatisha tamaa sana wanaomsapoti, yaani MO FaYa jinsi watu walivyoipokea kwa kishindo kwenye social media kipindi anaoa angekuwa ameisambaza mtaani angeuza mno, lakini hadi sahivi haieleweki anauzia wapi maana sijawahi kuiona mtaani hata kwa bahati mbaya, may b anakunywa nyumbani na mama watotoNani kakatishwa tamaa, wakati yy mwenyewe mambo anayoyafanya anaonekana kishakata tamaa. Mara naingiza sokoni mofaya kombe la dunia likianza, mara nadhamini matangazo ya kombe la dunia, mara sikukuu ya idd mo faya inaingia sokoni,mara bidhaa itaingia sokoni mpaka Ommy apone (sijajua uhusiano wa mo faya na Ommy vinahusiana vipi) mara kutoka ktk mziki kaenda kwenye mpira (hapa ndipo nilipomuona looser). Kwa kifupi jamaa wako hajui anataka nini na anasimamia nn, excuse kibao usifanye masihala kuanzisha bidhaa mpya, yy anazani muda una msubiria yy, katoa nyimbo karibia tatu zote maboko na show zishakata, kijana UKITAKA KUANZA MAISHA ANZA SASA, USISUBIRI KESHO, UTAJA KUMKUTA MWANA SI WAKO (Banza stone). Jamaa yako sio tunamkatisha tamaa kwani hajui tumia muda na muda huu ndio utatakao muhukumu.Unapokuwa wa moto ndio muda wa kuinvest yy, anaruka ruka na sasa hivi ndio muda wake wakuelekea omega, alpha kishaipita.
Hawa ndo matozi wa mikoani hahahahaBora hawa chalii za kule wakadhamini kuliko hio mo motoView attachment 924459
here we areyeah... Best response ever. I hope WCB watatumia busara kujibu hili
nadhani hiyo gharama ndo ambapo mofaya watakimbia mazima😂😂😂WASAFI WAMJIBU WAMEKUBALI UDHAMINI !!
WASEME GHARAMA YAO YA UDHAMINI WA TAMASHA!
mbona simple tu!!
wamekubali udhaminiyeah... Best response ever. I hope WCB watatumia busara kujibu hili
Ali kiba ana roho ya kwanini sana huyu mtu sijui Kwanini,nakumbuka alipozingua kumpa mkono duuh😦😦Something is wrong here. Ukifuatilia ile press ya Wasafi siku ile halafu ukisoma response ya huyu jamaa unagundua kuna kitu hakipo sawa hapa. Kuna mmoja kati yao anahitaji bifu liendelee na uhitaji kuwa PHD kumtambua.
Itakua bado kontena liko kwenye meli,mana jamaa huwa muongo balaa mzigo toka sauzi mpka leo haufiki tz,sijui kipindi cha harusi walimpa kama ofaHuyu jamaa anawakatisha tamaa sana wanaomsapoti, yaani MO FaYa jinsi watu walivyoipokea kwa kishindo kwenye social media kipindi anaoa angekuwa ameisambaza mtaani angeuza mno, lakini hadi sahivi haieleweki anauzia wapi maana sijawahi kuiona mtaani hata kwa bahati mbaya, may b anakunywa nyumbani na mama watoto
Kiba anakaa kwenye ghorofa kumbuka..maisha malengo..labda aliingia kwenye muziki kutafuta capital na akafanye vitu vingine...Dr Dre kwenye muziki hakupata hela ndefu kama kwenye biashara ya Beats by Dre(head phones)..Nani kakatishwa tamaa, wakati yy mwenyewe mambo anayoyafanya anaonekana kishakata tamaa. Mara naingiza sokoni mofaya kombe la dunia likianza, mara nadhamini matangazo ya kombe la dunia, mara sikukuu ya idd mo faya inaingia sokoni,mara bidhaa itaingia sokoni mpaka Ommy apone (sijajua uhusiano wa mo faya na Ommy vinahusiana vipi) mara kutoka ktk mziki kaenda kwenye mpira (hapa ndipo nilipomuona looser). Kwa kifupi jamaa wako hajui anataka nini na anasimamia nn, excuse kibao usifanye masihala kuanzisha bidhaa mpya, yy anazani muda una msubiria yy, katoa nyimbo karibia tatu zote maboko na show zishakata, kijana UKITAKA KUANZA MAISHA ANZA SASA, USISUBIRI KESHO, UTAJA KUMKUTA MWANA SI WAKO (Banza stone). Jamaa yako sio tunamkatisha tamaa kwani hajui tumia muda na muda huu ndio utatakao muhukumu.Unapokuwa wa moto ndio muda wa kuinvest yy, anaruka ruka na sasa hivi ndio muda wake wakuelekea omega, alpha kishaipita.
Mziki wa Tanzania sio sawa na wa mbele, ukiwa wa moto ndio mida ya kupiga, Juma nature (ana history na hits nyingi kuliko Kiba) kipindi kile yupo wa moto kila siku alikuwa anatangaza anataka kuingiza ndala zake sokoni, mpaka sasa hamna cha ndala wala nini na mziki ushamkataa, siku zote muda haumsubiri mtu, wabongo wakikusahau jua wamekusahau mazima.Kiba anakaa kwenye ghorofa kumbuka..maisha malengo..labda aliingia kwenye muziki kutafuta capital na akafanye vitu vingine...Dr Dre kwenye muziki hakupata hela ndefu kama kwenye biashara ya Beats by Dre(head phones)..
MMh.. I hope Seven yupo vizuri kwenye negotiation. Hapa ni win-win situation... Aangalie na longterm impact ya mkataba watakaoingia. Ibakie kwenye Mofire tu, wasiingie kwenye muziki wa Kibahere we areView attachment 924966
Kila mtu na roho yake..ukianza kuhoji hilo ni kujipa tabu tu!!Ali kiba ana roho ya kwanini sana huyu mtu sijui Kwanini,nakumbuka alipozingua kumpa mkono duuh[emoji46][emoji46]