Ali kiba: Nipo tayari kudhamini tamasha la wasafi festivals

Mofaya hiii hii wanayosema ni source ya ugonjwa wa dimpoz?
Kibakula toka aitangaze haijawahi kuonekana madukani zaidi ya zile carton chache tuliona kwenye harusi yake,angekua mjanja toka amesema hii product ingekua kwenye pick mda huu,angempa deal hata mohans asambaze
 
Ukute pesa hana aliongea ili kumtia ndimu Chibu,

kasahau mwenzake ni mfanya biashara yule hahaha

Haya sasa Domo kaafiki wazo lake
 
Nani kakatishwa tamaa, wakati yy mwenyewe mambo anayoyafanya anaonekana kishakata tamaa. Mara naingiza sokoni mofaya kombe la dunia likianza, mara nadhamini matangazo ya kombe la dunia, mara sikukuu ya idd mo faya inaingia sokoni,mara bidhaa itaingia sokoni mpaka Ommy apone (sijajua uhusiano wa mo faya na Ommy vinahusiana vipi) mara kutoka ktk mziki kaenda kwenye mpira (hapa ndipo nilipomuona looser). Kwa kifupi jamaa wako hajui anataka nini na anasimamia nn, excuse kibao usifanye masihala kuanzisha bidhaa mpya, yy anazani muda una msubiria yy, katoa nyimbo karibia tatu zote maboko na show zishakata, kijana UKITAKA KUANZA MAISHA ANZA SASA, USISUBIRI KESHO, UTAJA KUMKUTA MWANA SI WAKO (Banza stone). Jamaa yako sio tunamkatisha tamaa kwani hajui tumia muda na muda huu ndio utatakao muhukumu.Unapokuwa wa moto ndio muda wa kuinvest yy, anaruka ruka na sasa hivi ndio muda wake wakuelekea omega, alpha kishaipita.
Huyu jamaa anawakatisha tamaa sana wanaomsapoti, yaani MO FaYa jinsi watu walivyoipokea kwa kishindo kwenye social media kipindi anaoa angekuwa ameisambaza mtaani angeuza mno, lakini hadi sahivi haieleweki anauzia wapi maana sijawahi kuiona mtaani hata kwa bahati mbaya, may b anakunywa nyumbani na mama watoto
 
yeah... Best response ever. I hope WCB watatumia busara kujibu hili
here we are
Screenshot_20181107-191321.png
 
Acha niishie kusoma comments zenu, mimi nitacoment baadae
 
Something is wrong here. Ukifuatilia ile press ya Wasafi siku ile halafu ukisoma response ya huyu jamaa unagundua kuna kitu hakipo sawa hapa. Kuna mmoja kati yao anahitaji bifu liendelee na uhitaji kuwa PHD kumtambua.
Ali kiba ana roho ya kwanini sana huyu mtu sijui Kwanini,nakumbuka alipozingua kumpa mkono duuh😦😦
 
Huyu jamaa anawakatisha tamaa sana wanaomsapoti, yaani MO FaYa jinsi watu walivyoipokea kwa kishindo kwenye social media kipindi anaoa angekuwa ameisambaza mtaani angeuza mno, lakini hadi sahivi haieleweki anauzia wapi maana sijawahi kuiona mtaani hata kwa bahati mbaya, may b anakunywa nyumbani na mama watoto
Itakua bado kontena liko kwenye meli,mana jamaa huwa muongo balaa mzigo toka sauzi mpka leo haufiki tz,sijui kipindi cha harusi walimpa kama ofa
 
Nani kakatishwa tamaa, wakati yy mwenyewe mambo anayoyafanya anaonekana kishakata tamaa. Mara naingiza sokoni mofaya kombe la dunia likianza, mara nadhamini matangazo ya kombe la dunia, mara sikukuu ya idd mo faya inaingia sokoni,mara bidhaa itaingia sokoni mpaka Ommy apone (sijajua uhusiano wa mo faya na Ommy vinahusiana vipi) mara kutoka ktk mziki kaenda kwenye mpira (hapa ndipo nilipomuona looser). Kwa kifupi jamaa wako hajui anataka nini na anasimamia nn, excuse kibao usifanye masihala kuanzisha bidhaa mpya, yy anazani muda una msubiria yy, katoa nyimbo karibia tatu zote maboko na show zishakata, kijana UKITAKA KUANZA MAISHA ANZA SASA, USISUBIRI KESHO, UTAJA KUMKUTA MWANA SI WAKO (Banza stone). Jamaa yako sio tunamkatisha tamaa kwani hajui tumia muda na muda huu ndio utatakao muhukumu.Unapokuwa wa moto ndio muda wa kuinvest yy, anaruka ruka na sasa hivi ndio muda wake wakuelekea omega, alpha kishaipita.
Kiba anakaa kwenye ghorofa kumbuka..maisha malengo..labda aliingia kwenye muziki kutafuta capital na akafanye vitu vingine...Dr Dre kwenye muziki hakupata hela ndefu kama kwenye biashara ya Beats by Dre(head phones)..
 
Mziki wa Tanzania sio sawa na wa mbele, ukiwa wa moto ndio mida ya kupiga, Juma nature (ana history na hits nyingi kuliko Kiba) kipindi kile yupo wa moto kila siku alikuwa anatangaza anataka kuingiza ndala zake sokoni, mpaka sasa hamna cha ndala wala nini na mziki ushamkataa, siku zote muda haumsubiri mtu, wabongo wakikusahau jua wamekusahau mazima.
 
Ukiambiwa kiba ni King hii ndio maana halisi.....wameshindwa kufanya mambo yao Bila kumchokonoa King,maana response yoyote ile toka Kwa kiba kwao ni strategy.
 
Ali kiba ana roho ya kwanini sana huyu mtu sijui Kwanini,nakumbuka alipozingua kumpa mkono duuh[emoji46][emoji46]
Kila mtu na roho yake..ukianza kuhoji hilo ni kujipa tabu tu!!
 
Back
Top Bottom