Ali Kiba pole sana, bifu ya WCB na Clouds imekumeza

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Kuna time ilifika hakuna msanii anayeangaliwa zaidi ya diamond na alikiba...
Nakumbuka Barnaba aliwahi kusikika akisema imefikia wakati hawapewi nafasi ya kusikilizwa.

Pia nilimsikia nay wa mitego akimuliza mwandizi kwann nyie waandishi lazima muulize maswala ya alikiba na diamond?
Sasa kibao kimegeuka no diamond na alikiba ni wcb wasafi na clouds FM

Alikiba hakuna anayemfuatilia km zamani naamini ye mwenyewe anajua ili.,na linatokea wakati mbaya sana anaplan za kuisimamisha lebbel yake.

Clouds naamini walihusika kwa kiasi kikubwa kucreat rivals ya Ali na diamond at the end kiba kasanda ,wamebakia wao wanapambana na wcb
Tuone mwisho utakuwaje
Naamini mpambano huu lazima1 ashinde na Nina tabiri WCB watawin the game cz wana 1st class musician in Tanzania kwa sasa.,wanafuatiliwa mno.

Umewahi kujiuliza kama WCB wasingekuwa na diamond,hamo,ray wangeendesha VP tamasha cz wasanii cream wote ukitoa WCB wako fiesta.

Yote kwa yote Ali Kiba pole sana....
 
Watunwa dar mnatakiwa kufahamu mikoani watunwengi hawaskilizi majungunya redio zenu Ali kiba anafanyia tamasha kahama 70% ya watu wake hawana time na majungunya radio na ni watu wa starehe so watajaa tu
 
Kuna watu bila kiki hawapati faida kabisaaa. Baada ya kumtumia ali kiba miaka na miaka wamehamia kuitumia clouds aiseee
 
Sasa iv hakuna mziki kuna keleletu mimi huwa najisikilizia nyimbo za bongo fleva zilipendwa hizi nyimbo zenu za sikuizi sizielewi kabisa, mara utasikia kitandani pachupachu, mwingine nae eti baby nikikuona na banwa na haja, nabaki kujiuliza ndio mwisho wao wakufikiri au
 
Yawezekana mada yako ina ukweli ndani yake,

Lakini nikuambie kitu kimoja, Uamuzi alio uchukua Kiba kuto fungamana na upande wowote kwa sasa unafaida kubwa sana kwake,

Muache Ally apige zake show Kahama na hawa wengine kila mmoja apambane na tamasha lake,


Amini Amini nakuambia muda wa Kuheshimiana umefika,thamani ya Wasanii lazima ijulikane
 
nimekuelewa saana
 
Kuna watu bila kiki hawapati faida kabisaaa. Baada ya kumtumia ali kiba miaka na miaka wamehamia kuitumia clouds aiseee
Dogo anajua kutambalia fursa na ana akili, yani alikiba siku ile alijibu kwa kebehi kuwa labda adhamini tamasha akijua diamond ataona dharau jamaa kajua kuwa alikiba kamkebehi ila akapita mle mle akakubari hapo akijua bifu lake na kiba kwa watu litakuwa limeisha kwa njia hiyo sasa akaamua kupitia kwa dudubaya kukuza ili awe na bifu kubwa na clouds apate kiki ya tamasha.
Kiba kwisha kazi sasa anatambalia bifu lake na clouds majungu na mabango hata kama hawamjibu ila anawasaka na kuwatafuta maana hata post yake ya leo ni bango la wazi wazi.
Diamond ana akili sana ya kutambalia nyota aisee uzuri anatengeneza ela hata akiisha atakuwa ana vitega uchumi hatorudi kuomba msamaha kama mapacha.
 
Umeandika essey...
 
Hahahaha dalali wa mofaya iko anapambana na hali yake hali sio nzuri kwa upande wake.
 
Jamni tufanyeni kazi huu umbea umbea haufai hasa kwa midume... tujing'amue na tufanye kazi ili tuendelee... umbea hauna ishu
 
wanafilisika wanamuziki wakubwa wa marekani..hata yeye akibugi chalii..kuna wasanii wakubwa duniani walihit mbaya..sasa hakuna mtu anasikiliza nyimbo zao..mfano Afrika P square...unapata stress unatapanya Mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…