Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Hayo majungu yenu pelekeni uko kila mtu na maamuzi yake.........mziki ni biashara kila mtu na target zake......na kuhusu cjui kuimba mond soko ashalipata so anaweza akaimba hata mabata madogo madogo yanaogelea ila kwa wengne wanaotafuta soko ndo ivo inabidi waumize vichwa..!!!
 
Naona unaruka ruka tu kama maharage wimbo wa kwanza kiba alijiona keki wakamuacha wakatoa leka tudikite na ikahiti na kutokuwemo kwake....baada ya kuona ngoma imehiti nyimbo ya pili akajileta mwenyewe na mwisho wa siku ngoma ikabuma......mziki ni zaidi ya vocal....ingekuwa ivo unavosema basi adi leo mond angekuwa underground......
 
Atamuuzia nan mzk wake? US watackiliza mzk wa Dai? AY alishndwa, yan unaenda kuimba hipop Marekani? Hahaha Mnav2ko Sana Wabongo. Nigeria kuna wana mzk wachache km bongo, wengine wameingia kwasababu wameona soko ndo maana wanapgaga makelele2. Huko Sawa Endeleeni. Mm Nmezungumzia Mzk Co Biashara, Mzk Hua Haishi Lkn Biashara Ina Mwisho Wake. Fuatlia Fraco Na Kanda Bongoman Nan Nyimbozake Znapgwa Sana Kwa Sasa Af Linganisha Miaka Walokua Wakifanya Kazi. Kuna tofaut Kat Ya Muimbaji, Mwanamzk Na Mfanyabiashara.
 
Nashangaa Unaposema Naruka Ruka, Kwan Huo Wimbo Wa Pili Wa Kigoma All Stars Diamond Hakuwemo? Km Alikuwepo Na Project Ikabuma Kwann Unamlaumu Kiba Peke Yake? Na Katka Wa2 Walio Imba Pumba Mle Nadhan Dai Pia, Maana Wimbo Unahusu TZ yeye anamzungumzia mamaake as if wenzie hawana wazaz, wkt angeweza kuimba mambo kbao yahusuyo nchi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…