hahaha, imebd nicheke kwanza wala co kosa lako tatzo walifuta somo la sanaa mashuleni. Chorus ndo hubeba Wimbo, na Chorus ktk Leka Tutigite aliimba Linex, so unadhan km Dai acngeimba kabsa, Leka Tutigite icnge hit? waliimba wengi mle na Dai aliimba km wengine2. Kulingana na wimbo ulivokua, waliitaji powerful voice kwaajr ya chorus, akamaliza Linex. Kwenye Waimbaji Wenye Vocal Za Kweli Dai Hayumo Na Kuandika Ni Wakawaida Sana. Mtafute Mtaalam Yoyote Yule, Vocals Ni Linex, belle9, sir nature, barnaba, christian bella, dully sykes nawengine nmewasahau. Hapo hakuna anaebanapua hata mmoja. Dai umshndanishe na akina omydimpoz,Hamornize, Aslay, Timbulo, Mavocal, Raymond, Nk wa type hiyo. Na katika hao wabanaj pua Dai hamuwez Kibakuli