Acha wivu sasa unataka kumlinganisha diamond na Ali kwa kipato. Hizo nyumba ww zinakuhusu nn .Bora ya kiba kuliko huyo dia wako anaetangaza ananyumba kumi na alinunua mtaa wa wema kumbe ndio kwanza anajenga ya pili na video kibao toka ananua kiwanja nani anaeringa hapo na kwakuongeza sifuri hajambo
Acha wivu sasa unataka kumlinganisha diamond na Ali kwa kipato. Hizo nyumba ww zinakuhusu nn .
Ww ndo una wivu wa kijinga. Diamond sahz yuko katika level zingine kabisa . lakn wabongo wenye husda ndo bado mnalinganisha na huyo kinamaneno yako tu hayo kwani hajui kiingereza kabisa na ndicho anakiimba KIBA ANAJUA endelea huko huko mkuu
umeona kasemaje na huko mbali unataka afike mawinguni? acha wivu wa kijinga
Good pointNyie ndo mnaomjaza ujinga boss wenu....!boss wenu ni sizitaki mbichi hizi..alisema yeye ni mkubwa kuliko tunzo,now kapata tunzo kaandaa mapokezi airport,anapita kwenye footsteps za D then hataki kuacknowledge
Hata kama alitangaza kwani alikua anakuambia ww. Ww ni hater . hata kama alosema alikua unaongea na ma fans wakePunguza kelele wewe unajua wivu fyuu kalale mbele huko kwani sialitangaza mwenyewe tulimuuliza ovyo nyie bibaraka uchwara fyuu kila kitu wivu ovyoooo
mkalimani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sizitaki mbichi hizi. Huwezi kuignore lugha ya biashara. Sasa anawasiliana na Nani katika Muzic wake?
Hata kama alitangaza kwani alikua anakuambia ww. Ww ni hater . hata kama alosema alikua unaongea na ma fans wake
Ww hater kaa nyuma ya spika
Cyo kwa povu hilo....!!!Tuliza kiherere chako na huyo boss wako fyuu ningemuonea wivu manji au au bakheresa wewe ndiye unaemwabudu angeongelea chumbani basi ovyo kiherere kama cha maderva ovyo haya kamuwahi biss wako wewe fans wake sina ushuzi wa team wewe
Cyo kwa povu hilo....!!!
Hiyo ni chuki binafsiHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
UshapanikiTena la omo hasa kiboko ya uchafu una jingine jipya