Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Bora ya kiba kuliko huyo dia wako anaetangaza ananyumba kumi na alinunua mtaa wa wema kumbe ndio kwanza anajenga ya pili na video kibao toka ananua kiwanja nani anaeringa hapo na kwakuongeza sifuri hajambo
Acha wivu sasa unataka kumlinganisha diamond na Ali kwa kipato. Hizo nyumba ww zinakuhusu nn .
 
Acha wivu sasa unataka kumlinganisha diamond na Ali kwa kipato. Hizo nyumba ww zinakuhusu nn .

Punguza kelele wewe unajua wivu fyuu kalale mbele huko kwani sialitangaza mwenyewe tulimuuliza ovyo nyie bibaraka uchwara fyuu kila kitu wivu ovyoooo
 
maneno yako tu hayo kwani hajui kiingereza kabisa na ndicho anakiimba KIBA ANAJUA endelea huko huko mkuu
umeona kasemaje na huko mbali unataka afike mawinguni? acha wivu wa kijinga
Ww ndo una wivu wa kijinga. Diamond sahz yuko katika level zingine kabisa . lakn wabongo wenye husda ndo bado mnalinganisha na huyo kina
U need to change. Achenj wivu wa kijinga. Kama humkubali ww ni sawa na hao wenzako wachache but majority wanamkubali co Tz tuu au east Africa but Africa na dunia kiujumla
 
Punguza kelele wewe unajua wivu fyuu kalale mbele huko kwani sialitangaza mwenyewe tulimuuliza ovyo nyie bibaraka uchwara fyuu kila kitu wivu ovyoooo
Hata kama alitangaza kwani alikua anakuambia ww. Ww ni hater . hata kama alosema alikua unaongea na ma fans wake
Ww hater kaa nyuma ya spika
 
Hata kama alitangaza kwani alikua anakuambia ww. Ww ni hater . hata kama alosema alikua unaongea na ma fans wake
Ww hater kaa nyuma ya spika

Tuliza kiherere chako na huyo boss wako fyuu ningemuonea wivu manji au au bakheresa wewe ndiye unaemwabudu angeongelea chumbani basi ovyo kiherere kama cha maderva ovyo haya kamuwahi biss wako wewe fans wake sina ushuzi wa team wewe
 
Huyu JAMAA anamajigambo eti ana piga mpunga mwingi tuuu hehehehheheh si Ajenge Nyumba sasa si angelipa ndege kwa ajiri ya MI kama anapiga mpunga mwingi....Haoni umuhimu wa kujua kingereza?
 
Tuliza kiherere chako na huyo boss wako fyuu ningemuonea wivu manji au au bakheresa wewe ndiye unaemwabudu angeongelea chumbani basi ovyo kiherere kama cha maderva ovyo haya kamuwahi biss wako wewe fans wake sina ushuzi wa team wewe
Cyo kwa povu hilo....!!!
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Hiyo ni chuki binafsi
 
kweli kuhusu Dai kujpendekeza kwa wasanii wa nje hainihusu bt mcje mkafkr kuimba na wasanii wa nje ndo ubora wa msanii, ni maamuz tu ya msanii hucka ilimradi umekubaliwa. Lakini kutoka kidunia kivyako ina sound kuliko kutegemea mbeleko. mf. alpha blondy(ivorycost), lucky dube(SA), Oliver Mtukuz(zimbabwe), Fela Pukuti(ghana), Anjelic Kijo(XX), 2face(Nigeria) hata Makilikili walitusua. Sema cc tuna waimbaji(km wakina Ali Choki) ndo maana wanajafuta wanamuziki wakuimba nao ili watoke. Mwanamzk km mwanamzk hujitahd kuwashawsh mashabk dunian kotei kuckiliza Tungo, Sauti na Ala za mzk wake, co kla kukcha unawaza niimbe na nani. utapata muda wa kufkr cha kuimba kweli? ndo maana wanajiimbia2 wanachojckia, mara nashtua kijoti mara naumia. chamaana pale ilikua kuima na Mr. Fleva lkn cjaona cha maana cha kuckiliza mle
 
Kajifunze English ww...unaaibika...hizi video zako hadi mjukuu atakuja kuziona ulivyo mkilaza...
 
hahaha, imebd nicheke kwanza wala co kosa lako tatzo walifuta somo la sanaa mashuleni. Chorus ndo hubeba Wimbo, na Chorus ktk Leka Tutigite aliimba Linex, so unadhan km Dai acngeimba kabsa, Leka Tutigite icnge hit? waliimba wengi mle na Dai aliimba km wengine2. Kulingana na wimbo ulivokua, waliitaji powerful voice kwaajr ya chorus, akamaliza Linex. Kwenye Waimbaji Wenye Vocal Za Kweli Dai Hayumo Na Kuandika Ni Wakawaida Sana. Mtafute Mtaalam Yoyote Yule, Vocals Ni Linex, belle9, sir nature, barnaba, christian bella, dully sykes nawengine nmewasahau. Hapo hakuna anaebanapua hata mmoja. Dai umshndanishe na akina omydimpoz,Hamornize, Aslay, Timbulo, Mavocal, Raymond, Nk wa type hiyo. Na katika hao wabanaj pua Dai hamuwez Kibakuli
 
Namkubali sana kimuziki.
Lakini swala la kizungu kukiongea anatia aibu. Sababu ya kutia aibu ni kulazimisha kukiongea na kuchekacheka bila sababu. Pili ni kuongea bila kujua ameulizwanini. Tatu labda hajitambui kama tunavyo mtambua sisi.
Kujua kigeleza si lazima sana ila nivizuri ujieleze kuwa hukijui wakutafutie mkalimani na sio vibaya. Kuliko kulazimisha vitu hasa anakua kama alijiandaa kujibu kitu fulani na wasipo muuliza huyo anatiririka.
Nazani uwe inatambua mazingira we Ali, maana mlikua mnafanyiwa mahojiano mlikua na Sauti soul ma ikashindwa hata kuwaambia wakusaidie wawe kama wakalimani kwako ili uongee kwa kujimwaya kama unavyo penda iwe kwa kingereza.
Ukweli ni aibu kubwa kama unaona ni kigumu sema wakutaftie mkalimani mapema.
Kuliko kujichekesha ovyo na kujigamba ovyo..
 
Hata kiswahili lugha hivyo Kiba ni hiari yako kujifunza lugha ya kigeni au la!
 
Back
Top Bottom