chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Acha kumwita hivyo naweweKibakuli katika ubora wake
Amekutoaa kwenye mood yk kumwita jamaa kibakuli heeeAcha kumwita hivyo nawewe
mkuu umefurahi sababu kakufariji mpo sawa? ndio mnavyopenda wabongo. Waluguru wanaita kazopata.hapo tu ndo napokuzimikiaga na kukufifia kiba......huna makuu
Duuuh huyu jamaa mda wote anaimba hela huwa halipwi mana kwa mda wke aliokaa kwenye game asingekosa kua n nyumba hata ya 40mHa ha haaaaaaaaa
F. Gonga alimfurumusha kumtoa katika nyumba yake, ila hata kama ni uamuzi wake. Hasingeongelea angekaa kimya tu, sielewi y kaongelea hata kujibu, angenyamaza.
Mashindano ya nyumba sasa, interesting.