Ali Kiba: Sina nyumba bado, na hata nikiwa nayo sitajitangaza

Ali Kiba: Sina nyumba bado, na hata nikiwa nayo sitajitangaza

Msela hataki makuu yani sio lime light nyumba anayo ila hataki kiki
 
Kawaumbua team kiba na yule jamaa wa thread ya jana!
 
Ha ha haaaaaaaaa

F. Gonga alimfurumusha kumtoa katika nyumba yake, ila hata kama ni uamuzi wake. Hasingeongelea angekaa kimya tu, sielewi y kaongelea hata kujibu, angenyamaza.

Mashindano ya nyumba sasa, interesting.
Duuuh huyu jamaa mda wote anaimba hela huwa halipwi mana kwa mda wke aliokaa kwenye game asingekosa kua n nyumba hata ya 40m
 
Itabidi tubadili maana ya show off.

11363645_192209481161746_502612829_n.jpg
 
Back
Top Bottom