Ali Kiba: Sina nyumba bado, na hata nikiwa nayo sitajitangaza

Eti ooooh mi sio mtu wa shoo off,hata nikiwa nayo sitotangaza. hapa anawaonyesha six packs wadada.Ndio iwe nyumba hasituonyeshe......??

 
Huyu Ndo Team Yake Inampaisha inamwita King kumba Mfalme amepanga Hana Hata Nyumba na Miaka yote Hiyo kwenye Mziki...

Poor Kiba
 
Kiba nyumba atoe wapi wakati anafanya muziki kutaka sifa za kijinga wakati wenzake wanafanya biashara
 
Msanii Ali Kiba amekataa nyumba inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikuhusishwa na yeye na kusema bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga na hata kama alikuwa amejenga nyumba hawezi kufanya show off

Alikiba hajui kuishi kistaa... star yoyote lazima ajionyeshe ye haoni hata wasanii wa nje wakina wizkid.. davido.. neyo.. wapo wengi tyu wanao jionyesha... hahah anataka ajenge ki gofu alafu atuambie anaishi nyumba ya kupanga... kwanza utaishije nyumba ya jupanga wakati pesa ya kujenga unayo....kuna kityu hapa hauwezi ukawa na pesa alafu unatembea na malapa barabarani... kibakuli jiongeze... hayo ndio mafanikio jioneshe tuone unafanikiwa nini msanii wetyu.... nyooooo
 
Msanii kuonesha nyumba take anazomiliki au Mali anazomiliki ndio sifa kuu duniani kote msanii wasanii hupenda kutoka na wapenzi wao hadharani kuonesha Mali zao tunaona hana majuu wakina 50 cent paff dady. Wengi wa wasanii wanaonesha majengo walionunua. Ukiona msanii kama kibakuli anasema yy haezi onesha nyumba yake basis hapo akuna kitu
 
Anazidiwa na dogo Aslay unaiangusha timu yako najua ni wao waliosambaza hiyo nyumba hili wakupambanishe na simba naona wanajafariji baada ya kuwanyuja
 
Kujenga nyumba sio kitu cha mchezo mchezo subiri domoli aje aseme ile ya Madale anayoishi ni yake au ya sponsor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…