Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
King Kiba on air
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii Ali Kiba amekataa nyumba inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikuhusishwa na yeye na kusema bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga na hata kama alikuwa amejenga nyumba hawezi kufanya show off
Team Kibakuli...Acha kumwita hivyo nawewe
Unaweza kukuta hii comment imetoka kwa mwanaume mwenzetu.Amemzimikia na kumfia Kiba.Teh teh teh...hapo tu ndo napokuzimikiaga na kukufifia kiba......huna makuu
Hana makuu wapi, wakati maiki ilivyozimwa alitokwa povu...hapo tu ndo napokuzimikiaga na kukufifia kiba......huna makuu