Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Na mashaka na uelewa wako.Aaaaah mkuu.hapo sijakuelewa kabisa.etì kupiga picha na jokate? (Mpenzi wake)
kuzimiwa na Mike stejini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mashaka na uelewa wako.Aaaaah mkuu.hapo sijakuelewa kabisa.etì kupiga picha na jokate? (Mpenzi wake)
kuzimiwa na Mike stejini
Mkuu umemaliza kila kituKwani kiki manaake nini?
Kusema kizuri kikikosekana kibaya uonekana bora Alikuwa ana maana gani?
Kusema mfalme amerudi kufuta vumbi kiti chake ilikuwa ni nini? ( si angetoa tu nyimbo ivume bila maneno maneno)
Kusema alizimiwa maiki Mombasa na kuuliza MENEJA wa Diamond alikuwa anafanya nini back stage hiyo ni nini?.
Kupiga tupicha na jokate na kutupia insta hiyo ni nini?
AU LABDA MI SIJUI MAANA YA KIKI.
Ila haka ka jamaa ni kanafki
LAKINI HATA HIYO NI KIKI,KUSEMA HAPENDI KIKI.
HII NAYO NI NINI AU HUWA ZINAJIWEKA ZENYEWE KWENYE PAGE YAKE.....??
Hii nyumba ALISEMA NI YAKE,ILA BAADA YA WAKUDA KUCHIMBUA WAKAMUUMBUA,IKAJULIKANA KUWA ALIHIFADHIWA NA DEMU HAPO.Hii link inazingua. Idownload utuwekee hapa tuone hizi kiki mfu mkuu