Ali Kiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe

Ali Kiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe

Kwani kiki manaake nini?
Kusema kizuri kikikosekana kibaya uonekana bora Alikuwa ana maana gani?
Kusema mfalme amerudi kufuta vumbi kiti chake ilikuwa ni nini? ( si angetoa tu nyimbo ivume bila maneno maneno)
Kusema alizimiwa maiki Mombasa na kuuliza MENEJA wa Diamond alikuwa anafanya nini back stage hiyo ni nini?.
Kupiga tupicha na jokate na kutupia insta hiyo ni nini?
AU LABDA MI SIJUI MAANA YA KIKI.
Ila haka ka jamaa ni kanafki
LAKINI HATA HIYO NI KIKI,KUSEMA HAPENDI KIKI.
Mkuu umemaliza kila kitu
 
UNATOA MSAADA NA MIPICHA KIBAO,KWANINI USIENDE KIMYA KIMYA.KAMA HAITOSHI UKAIWEKA KWENYE PAGE YAKO,KISHA UNASEMA HUPENDI KIKI HII NI NINI ......???
 
Siku hizi ma DJ ndio watangazaji kwahiyo hata maswali ya msingi huwa HAWAYAJUI,kama hapa ANATUONYESHEA FAMILIA, HII NAYO NI NINI KAMA SIO KIKI ......???
 
HII NAYO NI NINI AU HUWA ZINAJIWEKA ZENYEWE KWENYE PAGE YAKE.....??
 
Hii link inazingua. Idownload utuwekee hapa tuone hizi kiki mfu mkuu
Hii nyumba ALISEMA NI YAKE,ILA BAADA YA WAKUDA KUCHIMBUA WAKAMUUMBUA,IKAJULIKANA KUWA ALIHIFADHIWA NA DEMU HAPO.
IMG-20150502-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom