Ali Kiba: Sipigi tena playback, ni muziki wa live tu

Hakuna msanii wa bongo aliyewahi kufanikiwa kiuchumi kupitia band (excluding Jide)
 

Mimi nilitaka kuongea ila nikaona sitaeleweka, kibongobongo band sio biashara nzuri kwa sasa ndio maana mabend yanakufa hovyo... Tukisema tutaje band inayofanya fresh kwa sasa ni hakuna, uwezi kwenda kwenye band ukakuta band zimejaza.

Leo hii Bella amekimbilia kimtindo bongo fleva na ndio master wa game ya band kwa sasa... Mapacha wa3 wamekimbilia kwenye taarab coz hawapati watu kwenye band za kawaida.

All in all pengine atakuja na kitu kipya sana kwenye music wa band ila ajiangalie mashabiki wa bongo ni wanafiki sana watakuvimbisha kichwa ila kusapot kazi uwezi kuwaona utawaona kwenye social media na shows zisizo za band.
 
Kiba labda labda aje kama shabiki....! Anakaribishwa...

Hahahaa afu wewe mume wangu sumbai acha nisiongee sana....ebu nipe iyo hela ya kiingilio niende saloon nipake rangi na nyumba yangu
 
Last edited by a moderator:
Haya jamani twamsubiriiii kwa hamu ama nene
 
Music hasa kwenye nchi inayoendelea kama yetu sio permanent career.. congrats Kiba..umeona mbali..
 
Loh!!+SijiiiiiiiiiiKusikiliza playback na kujati2a viuno??? ThitakiiiiKiba aimbe live......bendi amuachie jide..playback aziache kwa baba k
ha ha ha uijie nini wewe kiingilio m3 subiri picha af ni party ujue sio kukatiana vibuno...uje buana tuchukue hata tiketi za elf 50 tu tutakunywa hata azam cola ha ha ha
 
ha ha ha uijie nini wewe kiingilio m3 subiri picha af ni party ujue sio kukatiana vibuno...uje buana tuchukue hata tiketi za elf 50 tu tutakunywa hata azam cola ha ha ha

Hahahahahah

M3 kupoteza kwenye playback???? Nehiiiii

Heri niongezee hata m1-2 nikale bata nchi yoyote afrika kuliko kwenda kutupa huko
 
HahahahahahM3 kupoteza kwenye playback???? NehiiiiiHeri niongezee hata m1-2 nikale bata nchi yoyote afrika kuliko kwenda kutupa huko
Tatizo mmekariri huko sio show ni kuparty na kutambulisha muke yake....show mtaenda huko mwembeyanga na bendi ha ha ha
 
Amosi 5:23 mwenyezi mungu anasema,"NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"

Muziki unahamasisha uvaaji nusu uchi na zinaa.
Muziki unafanya watu wasihifadhi maneno matakatifu vichwani mwao Bali wahofadhi maneno ya kipuuzi.

MUZIKI NI KAZI YA KUTANGAZA SHERIA ZA SHETANI.
Baada ya kukesha kwenye nyumba za ibada watu wanakesha disco.wakati mungu anasema tukeshe tukiomba.7bu ya muziki watu wanakesha wananengua.

MUZIKI NI KAZI HARAMU
 

sasa unakesha ukiomba nini? yaan mda wote huo unaomba tuuu, hata tigo haiombwi mda mrefu hvo
 
Kiba mdogo wangu we tayari jioni saa 12. Ni vema ukafikiria kuwa na familia babu kijana.

Heshima yako ni kubwa ila huna nyota, huna kabisa. Kitendo cha kutembea na Lulu ndicho kilichozima nyota yako.
Tunasubiri video ya cheketua, tafadhali hii usirekodie tena chooni kama mwana.

Msondo kuna pengo la Bitchuka aliye Sikinde na Marehemu Mbwembwe, nenda ukalizibe tupate burudani
 
Nampongeza Kiba kwa kuamua kupiga live.

Lakini watu washaanza kumponda mond kua eti hajui kupiga live yeye ni mtu wa playback tu, kwani yeye kiba alikua hapigi playback? Shoo mbilitatu alizopiga kwa bendi ndo zimewasahaulisha playback aliyokua anapiga!

Mmesahau kati ya kiba na mondi aliyeanza kupiga live ni mond? Embu rejeeni show ya Dai ya "diamonds are forever" ilikua live moja kali sana.

Haya mmesahau coke studia pale Mond alipiga live show kali sana tena na wasanii wa kimataifa!

Embu cheki hii

Mdogo Mdogo, Diamond & Yemi Alade, Coke Studio Af…: http://youtu.be/jxSfgsF2LPI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…