Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera yake,ila mi ningekuwa management yake nisingemshauri amiliki Band,ila kuimba live haina ulazima wa kumiliki Band kwa sababu kumiliki Band ni gharama mno maana sasa itambidi amiliki wapiga vyombo wasiopungua 8 waimbaji na wacheza show si chini ya 5 (kumbuka hawa utakuwa nao muda wote ili muwe munafanya mazoezi na mambo mengine) kwa hiyo kuna mambo ya mishahara na posho,unajua kitakachofuata ITAMBIDI AWE NA SHOWS ZA MARA KWA MARA TENA ZA SEHEMU MAALUM KILA SIKU FULANI UTAMKUTA HAPO unajua kitakachofuata HATOKUA NA MVUTO WA KUTAKA KUMJUA ANAKIPYA GANI KWA KUWA UKIENDA MAHALI FULANI UTAMKUTA akawaulize wakina Ally Choki,T.I.D,Banana Zorro. Hajiulizi kwa nn WASANII WA U.S. NA EUROPE WANAIMBA LIVE LAKINI SWALA LA KUMILIKI BAND KWAO HALIPO NA BADO PLAYBACK WANAIMBA. Ni ushauri tu si lazima auchukue, matusi yanakaribishwa kwa sababu nina degree kipengere hiko
Kiba labda labda aje kama shabiki....! Anakaribishwa...
ha ha ha uijie nini wewe kiingilio m3 subiri picha af ni party ujue sio kukatiana vibuno...uje buana tuchukue hata tiketi za elf 50 tu tutakunywa hata azam cola ha ha haLoh!!+SijiiiiiiiiiiKusikiliza playback na kujati2a viuno??? ThitakiiiiKiba aimbe live......bendi amuachie jide..playback aziache kwa baba k
ha ha ha uijie nini wewe kiingilio m3 subiri picha af ni party ujue sio kukatiana vibuno...uje buana tuchukue hata tiketi za elf 50 tu tutakunywa hata azam cola ha ha ha
Hakuna msanii wa bongo aliyewahi kufanikiwa kiuchumi kupitia band (excluding Jide)
Hahahaa afu wewe mume wangu sumbai acha nisiongee sana....ebu nipe iyo hela ya kiingilio niende saloon nipake rangi na nyumba yangu
Music hasa kwenye nchi inayoendelea kama yetu sio permanent career.. congrats Kiba..umeona mbali..
hahahahahah
m3 kupoteza kwenye playback???? Nehiiiii
heri niongezee hata m1-2 nikale bata nchi yoyote afrika kuliko kwenda kutupa huko
K 4 REAL ni noumaaa sio kama yule mzee wa playback
Tatizo mmekariri huko sio show ni kuparty na kutambulisha muke yake....show mtaenda huko mwembeyanga na bendi ha ha haHahahahahahM3 kupoteza kwenye playback???? NehiiiiiHeri niongezee hata m1-2 nikale bata nchi yoyote afrika kuliko kwenda kutupa huko
Hahahahahah
M3 kupoteza kwenye playback???? Nehiiiii
Heri niongezee hata m1-2 nikale bata nchi yoyote afrika kuliko kwenda kutupa huko
Amosi 5:23 mwenyezi mungu anasema,"NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"
Muziki unahamasisha uvaaji nusu uchi na zinaa.
Muziki unafanya watu wasihifadhi maneno matakatifu vichwani mwao Bali wahofadhi maneno ya kipuuzi.
MUZIKI NI KAZI YA KUTANGAZA SHERIA ZA SHETANI.
Baada ya kukesha kwenye nyumba za ibada watu wanakesha disco.wakati mungu anasema tukeshe tukiomba.7bu ya muziki watu wanakesha wananengua.
MUZIKI NI KAZI HARAMU
K 4 REAL ni noumaaa sio kama yule mzee wa playback