Ali Kiba unakwama wapi mdogo wangu?

Ali Kiba unakwama wapi mdogo wangu?

Ana roho ya
FB_IMG_1584340688560.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumuache kijana wa watu mbona mnataka kuingilia privacy ake, kwani ni lazima kiba atoe sapport? Au kiba peke ake ndo hajatoa? Mmmmh me nakwazika sana katika hali hii hebu acheni watu waishi watakavyo na sio kupangiana khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikiba ....uwezo wake wamziki nimkubwa kwanza sauti yake Nikivutio tosha ...Uwez mfananisha Ally na Mmakonde wala Mondi , Ebu sikiliza nyimbo kama Mshumaa alafu ulinganishe na ...Uno ya mmakonde auJeje ya Mondi..... Pia Watoto wake kama Cheed anamiliki sauti ya zahabu Ebu ...sikia nyimbo kama Masozi.Alikiba anajua sana.
 
Nyumbu wa WCB wa ajabu kuliko wa mbugani...Kiba anakula maisha yake na kutumikia jamii juzi kafungua msimu mpya wa Samakiba...
Katambulisha na NYUZI MPYA zitazotumika na wanachofanya na SAMATTA hakuna kunguni yyte amewaza kufanya wala kati ya hao wanaowataja kuonesha kusapoti ila watu wametulia bt wao wanataka KING asapoti wanayotaka WAO...ni udada kiwango cha CORONA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumuache kijana wa watu mbona mnataka kuingilia privacy ake, kwani ni lazima kiba atoe sapport? Au kiba peke ake ndo hajatoa? Mmmmh me nakwazika sana katika hali hii hebu acheni watu waishi watakavyo na sio kupangiana khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Kiba anafanya Events ngapi mbna hao watu hawasapoti na hatujawahi ona NYUZI hapa...binadamu wana tabu sana asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikiba ....uwezo wake wamziki nimkubwa kwanza sauti yake Nikivutio tosha ...Uwez mfananisha Ally na Mmakonde wala Mondi , Ebu sikiliza nyimbo kama Mshumaa alafu ulinganishe na ...Uno ya mmakonde auJeje ya Mondi..... Pia Watoto wake kama Cheed anamiliki sauti ya zahabu Ebu ...sikia nyimbo kama Masozi.Alikiba anajua sana.
Na ndo maana hawaaumbuliwi na jux wala barnaba Kila SIKU Kiba Kiba Kiba kuanzia BOSI WAO HADI MASHABIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Mimi sija post au Ku support lolote na hamunisemi?Kwakuwa umefikia hatua yakumsema au kumuandika hapa jua kuwa KIBA still ni Best kwenye Bongofleva

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu...ana nguvu na mvuto wa ajabu wanatamani kumskia na kumuona Mara kwa Mara bt kidume hakieleweki kipo kama UYOGA sometimes DAWA sometimes SUMU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom