Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi akaanzie kwenye kipindi cha "hawavumi lakini wamo"Ali kiba ni msanii mpya anaye chipukia
Sent from my iPhone using JamiiForums
17 yrs kwenye game na hadi Leo mnamzungumzia zaidi ya Marioo unataka nn zaidi.Niliaminigi mawingu wakiamua kukubeba lazima upae na kubaki juu daima but kwa kiba naona wnnafail aisee.....au tatizo ni kiba mwenyew?
Asa mbona mnateseka nae!!...acheni kujipa shida wajuba wasanii wapo kibao bongo hapa.
Katambulisha na NYUZI MPYA zitazotumika na wanachofanya na SAMATTA hakuna kunguni yyte amewaza kufanya wala kati ya hao wanaowataja kuonesha kusapoti ila watu wametulia bt wao wanataka KING asapoti wanayotaka WAO...ni udada kiwango cha CORONA.Nyumbu wa WCB wa ajabu kuliko wa mbugani...Kiba anakula maisha yake na kutumikia jamii juzi kafungua msimu mpya wa Samakiba...
Kwani Kiba anafanya Events ngapi mbna hao watu hawasapoti na hatujawahi ona NYUZI hapa...binadamu wana tabu sana aseeMumuache kijana wa watu mbona mnataka kuingilia privacy ake, kwani ni lazima kiba atoe sapport? Au kiba peke ake ndo hajatoa? Mmmmh me nakwazika sana katika hali hii hebu acheni watu waishi watakavyo na sio kupangiana khaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo maana hawaaumbuliwi na jux wala barnaba Kila SIKU Kiba Kiba Kiba kuanzia BOSI WAO HADI MASHABIKIAlikiba ....uwezo wake wamziki nimkubwa kwanza sauti yake Nikivutio tosha ...Uwez mfananisha Ally na Mmakonde wala Mondi , Ebu sikiliza nyimbo kama Mshumaa alafu ulinganishe na ...Uno ya mmakonde auJeje ya Mondi..... Pia Watoto wake kama Cheed anamiliki sauti ya zahabu Ebu ...sikia nyimbo kama Masozi.Alikiba anajua sana.
Kabisa mkuu...ana nguvu na mvuto wa ajabu wanatamani kumskia na kumuona Mara kwa Mara bt kidume hakieleweki kipo kama UYOGA sometimes DAWA sometimes SUMU..Mbona Mimi sija post au Ku support lolote na hamunisemi?Kwakuwa umefikia hatua yakumsema au kumuandika hapa jua kuwa KIBA still ni Best kwenye Bongofleva
Sent using Jamii Forums mobile app