Ali Kiba vs Diamond Platnumz usiku wa leo Mombasa

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
238
Reaction score
387
Leo hii chama cha CORD kinachoongozwa na kinara Raila Odinga kinaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa.

Sherehe hii inayokwenda kwa jina la [HASHTAG]#ODM10at10Mombasa[/HASHTAG] inatazamiwa kuisha kwa mbembwe za wanamuziki kutoka Afrika Mashariki.

Diamond na Ali Kiba wanaiwakilisha Tanzania katika tamasha hili. Diamond amepatikana kwa Kshs.5Million ilhali Ali Kiba amepatikana kwa Kshs.3Million.

Leo hii umati wa Mombasa uliojazana huko Mama Ngina Drive utaamua nani ndio mkali wa Bongo Fleva. Niko maeneo nasubiri show.
 
Sio haba lakini, hapo ni 40% by 60% market share
 
neutro ground hamna kutegemea wana wapige buuuuu baada ya kunywa viroba
 
Kiba nae atakuepo???? Duuuh huyu raila sasa anataka kuleta za kuleta yani mafahari wawili wako ndan ya mombasa hahahaha sipat picha aise ambae uko kwenye shoo uwe unatupiamo mapicha na updates walau
 
Mliopo uko mtatumia mapicha na nani mshindi naimani kibaaa atashinda mapovu vepee
Sidhan kama kenya wana ujinga kama wa kwetu tz wenyew wanajali ku celebrate hawana teams
Btw hata akimshinda kwa kushangiliwa what abt mpunga shost
Mapovu on fleek [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Sidhan kama kenya wana ujinga kama wa kwetu tz wenyew wanajali ku celebrate hawana teams
Btw hata akimshinda kwa kushangiliwa what abt mpunga shost
Mapovu on fleek [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji108][emoji108][emoji108]
Kuna mtu yupo umu yupo uko atatuma pic
 
Jaman mbona mwenzenu sipokei notification ya jamii forum na nina application kwny sim yangu,au kuna mahal nimebonyeza maana nikitaka kuangalia kma mtu ame reply comment yangu lazm niend kkwenye website y jamii forum kawaida kabis
Embu niambie wataalam wa jamii forum/wakongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…