Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
Leo hii chama cha CORD kinachoongozwa na kinara Raila Odinga kinaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa.
Sherehe hii inayokwenda kwa jina la [HASHTAG]#ODM10at10Mombasa[/HASHTAG] inatazamiwa kuisha kwa mbembwe za wanamuziki kutoka Afrika Mashariki.
Diamond na Ali Kiba wanaiwakilisha Tanzania katika tamasha hili. Diamond amepatikana kwa Kshs.5Million ilhali Ali Kiba amepatikana kwa Kshs.3Million.
Leo hii umati wa Mombasa uliojazana huko Mama Ngina Drive utaamua nani ndio mkali wa Bongo Fleva. Niko maeneo nasubiri show.