Ali Kiba vs Diamond Platnumz usiku wa leo Mombasa

Endelea kutupa update mkuu
 
MMOJA HAPO NDO MSHINDI,HUYO MWINGINE ANATEMBELEA NYOTA YA MWENZAKE,HAKUSTAHILI HATA KULIPWA HIO PESA YOTE ALIYOLIPWA
 
Mimi pia iko hivo
Sijui tatizo ni nin!!?
 
Milioni 90+ Tsh unaita hela ya chai...mkuu kwemye akaunt yako kuna kias gan mkuu, hio "hela ya chai" labda ufanye kaz serikalin miaka kibao upate mafao yako ya uzeeni, lakin kuna mtu anapata ndan ya masaa tu hahahah
Haya basi ngoja nibadilishe kauli...
Afadhali Ali Kiba na yeye ajipatiage pesa ya KUJENGEA nyumba..!
 
Haya basi ngoja nibadilishe kauli...
Afadhali Ali Kiba na yeye ajipatiage pesa ya KUJENGEA nyumba..!
πŸ™‚πŸ˜‰πŸ™πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜ŽπŸ˜›πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜³πŸ™„πŸ˜΅
 
The battle in mombasa.. Siku hiyo... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hili beef Kuna mtu limamnufaisha kishenzi, kuanzia yy mpaka, management mpaka mashabiki wanajua bila hii beef msanii wao ana hali mbaya, huo ndio ukweli mwenzake anahangaika kujibrand, yy anakuwa kama parasite, ila kwa mashabiki wa diamond habari nyingine nzuri hiyo hapo
 
Wasanii wa TZ wakishakatazwa kuja kwenye sherehe za ki siasa kenya, wakenya mtasema 'wasanii wa Nairobi wasialikwe ku perform kwenye sherehe za kisiasa Mombasa', Nawashauri wa kenya waache mambo ya ubaguzi tatizo hapo ni malipo madogo, kwahiyo wanachotakiwa kupigania ni malipo, next time anaweza asialikwe Alikiba au Diamond lakini hao hao wakenya wakalipwa hizo Ksh 100k wataridhika?
 
Mliopo uko mtatumia mapicha na nani mshindi naimani kibaaa atashinda mapovu vepee
Vipi dada uko vizuri kuhusu bundle .......kama huko poa angalia hizi hapa tena ni za video sio za mnato. Za yule mwingine hazikupatikana kwasababu hana mpiga picha zaidi ya kutegemea simu za shabiki wake aliyejitolea kupiga picha ambazo hazina ubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…