Kama watafanya live show hari itakuwa mbaya kwa anae tegemea migongo ya wanaija huyo mwingine kasuku huwa hakosei
Pole mkuu, Diamond ni perfomer mzuri sana na anajua kulikabili jukwaa, unlike king kiba. Trust me kwa makeke ya domo, kiba ana mtihani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama watafanya live show hari itakuwa mbaya kwa anae tegemea migongo ya wanaija huyo mwingine kasuku huwa hakosei
Endelea kutupa update mkuuLeo hii chama cha CORD kinachoongozwa na kinara Raila Odinga kinaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa.
Sherehe hii inayokwenda kwa jina la [HASHTAG]#ODM10at10Mombasa[/HASHTAG] inatazamiwa kuisha kwa mbembwe za wanamuziki kutoka Afrika Mashariki.
Diamond na Ali Kiba wanaiwakilisha Tanzania katika tamasha hili. Diamond amepatikana kwa Kshs.5Million ilhali Ali Kiba amepatikana kwa Kshs.3Million.
Leo hii umati wa Mombasa uliojazana huko Mama Ngina Drive utaamua nani ndio mkali wa Bongo Fleva. Niko maeneo nasubiri show.
Afadhali na Ali Kiba ajipatiage japo pesa ya CHAI..!Diamond amepatikana kwa Kshs.5Million ilhali Ali Kiba amepatikana kwa Kshs.3Million.
MMOJA HAPO NDO MSHINDI,HUYO MWINGINE ANATEMBELEA NYOTA YA MWENZAKE,HAKUSTAHILI HATA KULIPWA HIO PESA YOTE ALIYOLIPWALeo hii chama cha CORD kinachoongozwa na kinara Raila Odinga kinaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa.
Sherehe hii inayokwenda kwa jina la [HASHTAG]#ODM10at10Mombasa[/HASHTAG] inatazamiwa kuisha kwa mbembwe za wanamuziki kutoka Afrika Mashariki.
Diamond na Ali Kiba wanaiwakilisha Tanzania katika tamasha hili. Diamond amepatikana kwa Kshs.5Million ilhali Ali Kiba amepatikana kwa Kshs.3Million.
Leo hii umati wa Mombasa uliojazana huko Mama Ngina Drive utaamua nani ndio mkali wa Bongo Fleva. Niko maeneo nasubiri show.
Unataka picha tu basi ila kuhusu utofauti wa malipo kati ya 5-3 kwako uoni tofauti wewe picha tu kwa kweli ni shida sanaMliopo uko mtatumia mapicha na nani mshindi naimani kibaaa atashinda mapovu vepee
Mimi pia iko hivoJaman mbona mwenzenu sipokei notification ya jamii forum na nina application kwny sim yangu,au kuna mahal nimebonyeza maana nikitaka kuangalia kma mtu ame reply comment yangu lazm niend kkwenye website y jamii forum kawaida kabis
Embu niambie wataalam wa jamii forum/wakongwe
Ndo kashalipwa na iko benk tayari hatuez fanya lolote tusubiri perfomance zao tuMMOJA HAPO NDO MSHINDI,HUYO MWINGINE ANATEMBELEA NYOTA YA MWENZAKE,HAKUSTAHILI HATA KULIPWA HIO PESA YOTE ALIYOLIPWA
Milioni 90+ Tsh unaita hela ya chai...mkuu kwemye akaunt yako kuna kias gan mkuu, hio "hela ya chai" labda ufanye kaz serikalin miaka kibao upate mafao yako ya uzeeni, lakin kuna mtu anapata ndan ya masaa tu hahahahAfadhali na Ali Kiba ajipatiage japo pesa ya CHAI..!
Haya basi ngoja nibadilishe kauli...Milioni 90+ Tsh unaita hela ya chai...mkuu kwemye akaunt yako kuna kias gan mkuu, hio "hela ya chai" labda ufanye kaz serikalin miaka kibao upate mafao yako ya uzeeni, lakin kuna mtu anapata ndan ya masaa tu hahahah
We jamaa mkudah wewe!ila mond ni shiidaHaya basi ngoja nibadilishe kauli...
Afadhali Ali Kiba na yeye ajipatiage pesa ya KUJENGEA nyumba..!
🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵Haya basi ngoja nibadilishe kauli...
Afadhali Ali Kiba na yeye ajipatiage pesa ya KUJENGEA nyumba..!
Dah nilikuwa najua Kenya wanajitahidi sana kuwajari wasanii wao kumbe ndio wanawakandamiza hivyo duh noma sana!
Wasanii wa TZ wakishakatazwa kuja kwenye sherehe za ki siasa kenya, wakenya mtasema 'wasanii wa Nairobi wasialikwe ku perform kwenye sherehe za kisiasa Mombasa', Nawashauri wa kenya waache mambo ya ubaguzi tatizo hapo ni malipo madogo, kwahiyo wanachotakiwa kupigania ni malipo, next time anaweza asialikwe Alikiba au Diamond lakini hao hao wakenya wakalipwa hizo Ksh 100k wataridhika?
Vipi dada uko vizuri kuhusu bundle .......kama huko poa angalia hizi hapa tena ni za video sio za mnato. Za yule mwingine hazikupatikana kwasababu hana mpiga picha zaidi ya kutegemea simu za shabiki wake aliyejitolea kupiga picha ambazo hazina ubora.Mliopo uko mtatumia mapicha na nani mshindi naimani kibaaa atashinda mapovu vepee