Ali Mtoni Sonso hana uwezo wa kuchezea Yanga

Kiukweli jamani hata Tshishimbi kama mnamfwatilia vizuri mwangalieni tu anapopata mpira awezi kutoa pasi kwa usahihi yaani anapoteza mipira kizembe sana.
nlishalisema hili....shishimbi hana akili za kuwa midfielder.... anapoteza sana pass...sometimes simwelewi kama box to box au holding au register...anacheza ka chandim...hasimeki van[emoji23][emoji23]
 
Hivi nyie wabongo mpoje? Yaani Molinga falcao anatosha kucheza yanga lakini sio Ally sonso?
 
nlishalisema hili....shishimbi hana akili za kuwa midfielder.... anapoteza sana pass...sometimes simwelewi kama box to box au holding au register...anacheza ka chandim...hasimeki van[emoji23][emoji23]
Jamaa hajui kabisa kutoa hata pass
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sonso ndio alikuwa nahodha wa Lipuli.
Kwan nahodha akiwa out of form anapata namba? Beki ya lipuli kwa msimu wa mwaka jana ilikuwa inaundwa na Haruna shamte na novatus lufunga/job, pemben ni William Lucian na Paul Ngalema. Sonso kakaa bench mara kibao tu
 
Sawa sisi wana jangwani hatukatai kwamba ni garasa ila ndiyo hivyo huyo anacheza na Zesco huku Gadiel Michael anacheza na namungo huko
 
Yanga ya msimu huu imesajili wachezaji wengi tu wa viwango vya kawaida sana! Kuanzia huyo Sonso, Ali Ali, Jaffery Mohamed, Marcelo (kwa huyu bora tu angebaki Mwiny Hajji), Kaseke (naye hana jipya), Bigirimana, Kalengo, nk.

(Wakina Sadney, Molinga, Balinya, Mustafa Selemani, nk. Hawa bado naendelea kuwachunguza.) Ukija kwa upande wa mwalimu, nadhani naye hana jipya kwenye timu. Unaweza ukahisi uwezo wake umefikia kikomo. Ni mtazamo wangu tu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…