Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Ile Mibrazil ya India, Kanda Bongoman na Wawa hakuna wachezaji pale
Simba matatizo nayo yapo. Kuna wachezaji ni magarasa pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba matatizo nayo yapo. Kuna wachezaji ni magarasa pale
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sonso ndio alikuwa nahodha wa Lipuli.Yanga waliiga maono ya amunike, huyo sonso lipuli kwenyewe hakuwa na namba ya uhakika
Watajifanya hii comment hawaioniIle Mibrazil ya India, Kanda Bongoman na Wawa hakuna wachezaji pale
nlishalisema hili....shishimbi hana akili za kuwa midfielder.... anapoteza sana pass...sometimes simwelewi kama box to box au holding au register...anacheza ka chandim...hasimeki van[emoji23][emoji23]Kiukweli jamani hata Tshishimbi kama mnamfwatilia vizuri mwangalieni tu anapopata mpira awezi kutoa pasi kwa usahihi yaani anapoteza mipira kizembe sana.
Matatizo ya fans wa bongo always they ague stupidity on players, especially from SSCMnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sonso ndio alikuwa nahodha wa Lipuli.
Hivi nyie wabongo mpoje? Yaani Molinga falcao anatosha kucheza yanga lakini sio Ally sonso?Nimemuangalia katika mechi kadhaa toka asajiliwe Yanga, nimegundua Ali Sonso hatoshi kuwa katika jezi za Yanga.
Kwasasa anacheza beki namba 3, sio mzuri sana kwenye ukabaji, lakini hata anapopanda kupiga krosi wakati wa mashambulizi, krosi zake zinakosa accuracy. Huwa anajipigia tu bila ya kuwa na uhakika.
Yanga ni bora wangembakisha Mwinyi Ali, kuliko huyu Ali Sonso. Labda ni mzuri akicheza kati lakini kwasasa hawezi kuwatoa Lamine Moro au Kelvin Yondani.
Dirisha dogo Yanga watafute Beki 3 mzuri wa viwango vya kucheza Yanga. Hawa akina Sonso ni wachezaji wa kariba ya Lipuli, Mbao, Biashara Utd.
Jamaa hajui kabisa kutoa hata passnlishalisema hili....shishimbi hana akili za kuwa midfielder.... anapoteza sana pass...sometimes simwelewi kama box to box au holding au register...anacheza ka chandim...hasimeki van[emoji23][emoji23]
Huyo ndio simwelewi kabisaKiukweli jamani hata Tshishimbi kama mnamfwatilia vizuri mwangalieni tu anapopata mpira awezi kutoa pasi kwa usahihi yaani anapoteza mipira kizembe sana.
Kwan nahodha akiwa out of form anapata namba? Beki ya lipuli kwa msimu wa mwaka jana ilikuwa inaundwa na Haruna shamte na novatus lufunga/job, pemben ni William Lucian na Paul Ngalema. Sonso kakaa bench mara kibao tuMnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sonso ndio alikuwa nahodha wa Lipuli.
Sawa sisi wana jangwani hatukatai kwamba ni garasa ila ndiyo hivyo huyo anacheza na Zesco huku Gadiel Michael anacheza na namungo hukoKwan nahodha akiwa out of form anapata namba? Beki ya lipuli kwa msimu wa mwaka jana ilikuwa inaundwa na Haruna shamte na novatus lufunga/job, pemben ni William Lucian na Paul Ngalema. Sonso kakaa bench mara kibao tu
Anzisha uzi wa Molinga mkuu kwani umezuiwa?Hivi nyie wabongo mpoje? Yaani Molinga falcao anatosha kucheza yanga lakini sio Ally sonso?
Nawewe ungemsajili mchezaji mwingine kwani ulilazimishwa kumsajili Sonso?Anzisha uzi wa Molinga mkuu kwani umezuiwa?
DùuuuuuhMolinga Falcao ni pazia la mgahawa.
Hakika.Matatizo ya fans wa bongo always they ague stupidity on players, especially from SSC