vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada
Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya gereji
Kwenye gereji kweli ukiwa na kichwa chepesi pesa ipo
Alienda gereji moja inamilikiwa na mtu mwenye asili ya sumalia au yemen hivi
Ila hakukaa sana tukasikia yupo sumalia
Facebook akawa anarusha picha kwenye muonekano tofauti na ule wakwake ndefu zikawa zimeshuka sana ule utanashati haupo tena
Ila imepita miaka kadhaa hajapost tena
Huyu kijana ni alikuwa jirani km ndugu tu aliishi na bibi yake wazazi wake walishauvua mwili wa binadamu muda sana
Sasa kwa kufikiri tu sidhani km mtanzania anaweza kuzamia kutafuta maisha sumalia
Sumalia kuna fursa kuliko TZ?