Alianza Heri James, sasa ni Gambo na Makonda atafuata

Nawe kwa uzandiki, hujambo.
 
Bashite ameona Dar anajichoresha ameamia Arusha kwa Msola anasoma masters IAA.
Ana akili sana huyo!

Unaona anavyoambana? Akija kupata ulaji huko mbele kutokana na juhudi zake hizo za kupata elimu mataahira yataanza kumtukana wakati mwenzenu anapambana kama hivyo huku nyie mnapiga porojo humu mitandaoni.
 
Ooh! Angetulia tu. Anasoma ili iwe nn? Tulipiga Sana kelele kwamba ana vyeti feki hakutusikiliza. Kuna wenye vyeti vizuri lkn hawana kazi.
Huyo tayari yuko kwenye mrija wa kula!

Hawezi kufanana na mtu yeyote asie na ajira hapa nchini!

Akihitimu hapo anaweza kuajiriwa popote huku wajinga mkibaki mnapiga miayo tu
 
Kati ya hao sita wasukuma ni wangapi?😂
 
100%
 
Ana akili sana huyo!

Unaona anavyoambana? Akija kupata ulaji huko mbele kutokana na juhudi zake hizo za kupata elimu mataahira yataanza kumtukana wakati mwenzenu anapambana kama hivyo huku nyie mnapiga porojo humu mitandaoni.
tatizo sio kupambana. hamna mtu ambae hapambani kufika level za juu, and he is not special.
lakin je atakuwa amejerikebisha?
 
Huyo tayari yuko kwenye mrija wa kula!

Hawezi kufanana na mtu yeyote asie na ajira hapa nchini!

Akihitimu hapo anaweza kuajiriwa popote huku wajinga mkibaki mnapiga miayo tu
Kwani dada wewe ni mkurugenzi wa shirika gani?
 
waTanzania mmekalia majungu tu
 
Hayati JPM aliwafanya hawa ni Miungu Watu sasa Yeye anajipumzikia zake huko Ardhini Chato hawa Watu wake wanaanza taratibu tu ' Kuweweseka ' hapa duniani.
 
Hata aombe msamaha namna gani, hatma ya MAKONDA ni gereza, yaweza isiwe leo au kesho Ila lazima aingie Gerezani kwa matendo yake ya KUUA na KUNYANG'ANYA mali
 
Bashite ameona Dar anajichoresha ameamia Arusha kwa Msola anasoma masters IAA.
Kama yanayosemwa kuhusu cheti cha Kidato cha 4 kuwa ni feki/si chake, basi hiyo itatosha ku-nullify vyeti vyote vilivyofuaya ambavyo vimetokana na /vimekitumia cheti hicho. Pia jinai ya kughushi bado inabakia pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…